Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wale wa kona kwa upande wangu nimebakiza Chelsea, Man u, Huddersfield na Leicester tuungane kwenye maombi na mimi nawaombea kwenye mikeka yenu ilimradi tu kusiwe na conflict of interest hahah
 
MKEKA No 2

Odds: 1.77

Stake: 57,000 Tsh
Marejesho: 108,900 Tsh

Hakika Mapambano yanaendelea.
View attachment 659670
BAADA YA KINA TOTENHAM KUFIKISHA CORNER 9

Nna furaha kuwafahamisha wadau wote mlionifata ktk mkeka No 2.

Kwamba, BET WOOOOOOOON....

Pesa ya muhindi tayar, kibindoni

Pia kwny mkeka No, 1 tunatia tick kwa pamoja kwny mechi ya Tottenham.

Hakika Mapambano yanaendelea
Screenshot_20171226-172345.png
 
BAADA YA KINA TOTENHAM KUFIKISHA CORNER 9

Nna furaha kuwafahamisha wadau wote mlionifata ktk mkeka No 2.

Kwamba, BET WOOOOOOOON....

Pesa ya muhindi tayar, kibindoni

Pia kwny mkeka No, 1 tunatia tick kwa pamoja kwny mechi ya Tottenham.

Hakika Mapambano yanaendelea
View attachment 660000
Mkuu unampiga mhindi hadi sio vizuri nataka nianze kutembelea nyota yako sasa
 
BAADA YA KINA TOTENHAM KUFIKISHA CORNER 9

Nna furaha kuwafahamisha wadau wote mlionifata ktk mkeka No 2.

Kwamba, BET WOOOOOOOON....

Pesa ya muhindi tayar, kibindoni

Pia kwny mkeka No, 1 tunatia tick kwa pamoja kwny mechi ya Tottenham.

Hakika Mapambano yanaendelea
View attachment 660000
Hongera mkuu....leo nimejaribu kujitegemea kidogo ila kudesa kupo
 
Leo ndio itakua mara ya mwisho kumbetia spura kwenye kona haswa akiwa anacheza na wapuuzi
Mbona corner zimetoa acheni kukata tamaa mapema guys
  1. [12/26, 14:48] ‪+234 811 921 5333‬: *68ZMLTH☹ ☹☹☹☹☹☹* *Bet9ja pay my rent & pay my school fees booking*
    Chelsea - Brighton
    *1 - 60min 1.38*
    Watford - Leicester City
    *2-5 Goals 1.28*
    Liverpool - Swansea
    *1X & Over(2.5) 1.48*
    Middlesbrough - Bolton
    *1 1.54*
    Wigan - Shrewsbury
    *H. Yes 1.36*
    Billericay - Thurrock
    *1 1.28*
    Worthing - Burgess Hill
    *Over(2.5) 1.48*
    Chorley - Southport
    *1 1.35*
    Merthyr - Hereford Utd
    *Over(2.5) 1.25*
    Lazio - Fiorentina
    *1 or Ov(2.5) 1.24*
    Club Brugge -Mouscron
    *Over(2.5) 1.35*
    Eupen - Waasland-Bev
    *2orGG 1.21*
    Galatasaray - Bucaspor
    *Over(2.5) 1.24*
    Zamalek- Mokawloon
    *1DNB 1.25*
    Ards - Carrick Rangers
    *1X & Ov(1.5) 1.58*
    Coleraine - Ballymena
    *1 1.48*
    Crusaders - Cliftonville
    *1X & Ov(1.5) 1.44*
    Glenavon - Warrenpoint
    *1 1.38*
    Glentoran - Linfield
    *A. Yes 1.35*
    Institute - Dergview
    *2-5 Goals 1.21*
    AL Jazira - Hatta
    *1DNB 1.30*
    Newtown - New Saints
    *2 1.26*
    Cefn D- Gap Connahs Q
    *2orGG 1.25*
    Dundee - Celtic
    *2-5 Goals 1.23*

    *Odd 1,050.53*
    *Stake 500₦*
    *Bonus 525,263.15 ₦*
    *Pot. win 1,050,526.3₦*
    *TS*[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
    [12/26, 14:48] ‪+234 811 921 5333‬: Booking Number: 68YWBD3
    26/12/201709:42:02

    5170 Liverpool - Swansea
    Over/Under 2.5Over
    26 December 2017 18:30Prematch
    5166 Bournemouth - West Ham
    Over/Under 1.5Over
    26 December 2017 16:00Prematch
    5167 Watford - Leicester City
    Over/Under 1.5Over
    26 December 2017 16:00Prematch
    2865 Club Brugge - Royal Mouscron
    Over/Under 2.5Over
    26 December 2017 14:30Prematch
    1094 Galatasaray - Bucaspor
    Over/Under 2.5Over
    26 December 2017 18:30Prematch
    4805 FC United - Salford City
    Over/Under 1.5Over
    26 December 2017 16:00Prematch
    4818 Coalville Town - Barwell
    Over/Under 1.5Over
    26 December 2017 16:00Prematch

    Odds: 5
    Emmy
    [12/26, 14:48] ‪+234 811 921 5333‬: *70% sure*

    Booking Number: 68YXJSP
    26/12/201709:47:20

    5167 Watford - Leicester City
    Over/Under 1.5Over
    26 December 2017 16:00Prematch
    2865 Club Brugge - Royal Mouscron
    Over/Under 2.5Over
    26 December 2017 14:30Prematch
    1094 Galatasaray - Bucaspor
    Over/Under 2.5Over
    26 December 2017 18:30Prematch

    Odds: 2
    Emmy​
 
Celtic wamepiga goli 2 toka first half lkn ameshindwa kutoa over 2.5 game zima.

Dah, wazushi sana wameniharibia mkeka wangu
 
Celtic wamepiga goli 2 toka first half lkn ameshindwa kutoa over 2.5 game zima.

Dah, wazushi sana wameniharibia mkeka wangu
Yani siku nikimweka hatoi 2,5 na siku nisipomuweka anatoa na ziada ya kutosha so from now on namtoa Kwa list yangu
 
Back
Top Bottom