Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
-
- #10,921
Nitarudi.......
Nawezaje kuacha kubet?
Nikipata japo ushauri&tiba nikaacha japo kwa mwezi mmoja
baharia umepotea mno
Nawezaje kuacha kubet?
Nikipata japo ushauri&tiba nikaacha japo kwa mwezi mmoja
Nawezaje kuacha kubet?
Nikipata japo ushauri&tiba nikaacha japo kwa mwezi mmoja
Hapa nmeona km leo anaweza kujiulza kutokana na yalio tokea lkn wcwc ndio akil namchomo fasta namuweka Swindon kdg yuko vzr
Pole sana Mkuu swindon nilimuamini ameharibu sana bora tungemuacha bournemouth...Duuh betting ngumu mie leo kichwa kinauma mkeka utakaotupia nachukua kama ulivyo.