Dragondreamx
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 564
- 215
Wakuu Naomba mnieleweshe hand cap za meridian huwa sielewi... Zipo option nyingi nielekezeni Tafadhali
Mkuu jana mchana kulikuwa na game za Philippino, zote zilienda over!
Wanapumzika mpaka tar 11 March, kuna timu ambazo ni uhakika kuvuka lengo, mi nazisubiri kwa hamu sana.
H home A away
-1.0 H1 ashinde kwa tofaut ya goli mbili+ akishinda kwa tofauti ya goli 1 money back
-1.5 H1 home ashinde tofaut ya goli 2+ akishinda kwa tofauti ya moja umeliwa
-2.0 H1 home ashinde kwa tofaut ya goli 3+ akishinda kwa tofaut ya goli 2 pesa inarudishwa odds 1.0 lakini akishisha chini ya tofauti ya hizo goli mbili unakuwa umeliwa
-2.5 H1 home ashinde kwa tofaut ya goli tatu+ akishinda chini ya hapo unakuwa umeliwa
System iko ivooo kwa -3.0 -3.5 -4.0 kuendelea
Tunakuja upande wa away team....away team inakuwa haina (-) inakuwa ni (+)= [(1)namba yenyewe] ikitambulika kama (H2)
1.0 H2 away ashinde kwa tofaut ya goli mbili+ akishinda kwa tofauti ya goli 1 money back
1.5 H2 away ashinde tofaut ya goli 2+ akishinda kwa tofauti ya moja umeliwa
2.0 H2 away ashinde kwa tofaut ya goli 3+ akishinda kwa tofaut ya goli 2 pesa inarudishwa odds 1.0 lakini akishisha chini ya tofauti ya hizo goli mbili unakuwa umeliwa
2.5 H2 away ashinde kwa tofaut ya goli tatu+ akishinda chini ya hapo unakuwa umeliwa
3.0 H2 away ashinde kwa tofaut ya goli 4+
Akishinda kwa tofauti ya goli 3 pesa inarudi odds 1.0
Akishinda kwa tofaut ya chini ya 3+ umeliwa
Nadhani tumeelewana
Nlipiga moja
Moja ile ya bonas
Kilio ila faida ipo
Duh! Si mchezo, hope next year ntakuwa nauwezo wa kuweka mil5 mpaka 10 kwa game!
hahaha mizigo mirefu inaleta stress, we si umeona jamaa wa uganda kamdhamini arsenal ikala kwake akaamua kujinyonga