Siku mbaya si kitoto leoSiku ngumu sana game nyingi za waitaly wazee wa game fixing
Ngumu nimechungulia zaidi ya mara moja sijapata kituSiku ngumu sana game nyingi za waitaly wazee wa game fixing
Hivi ni kampuni gani inatoa option ya kona kwa ligi mbalimbali ukiacha hizi ligi kubwa
Dah,
Jamani Ligi ya ivory coast raha sana.
Yaani Ligi nzima, first half ni Draw kwa 99%
MNAO TUMIA KAMPUNI NYINGN, HII NI ADVANTAGE KWENU.
HUYU MUHINDI WA PRINCESS KAAMUA KUTUBANIA OPTION YA "FIRST HALF" KWNY MECHI ZA HII LIGI
Siku ngumu sana game nyingi za waitaly wazee wa game fixing
Princessbet wahuni tu hela yangu nimeshinda jana hawataki kuniingizia hii sio biashara sifa ya biashara ni kila mtu apate sasa hawa wanataka wale wao tu this is injustice kabisa
haahahaha kaka ulijitosa mzimamzimah
Hata matokeo sikuwa naangalia nilichek asubuhi