Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wale wenzangu wa Mkeka No 3

Frosione keshachomoa goli tayr.

Tunatia tick

WAMEBAKI WAKINA BRESIA peke yao tupeleke msiba kwa muhindi.

Inawabidi WAVUKE KIGINGI CHA GOLI NNE

dkk 75, Bado wako 1:0

JIANDAENI KUCHEKELEA
 
Dah hii game ya Arsenal kwa kona nane cjui yaani wote wanacheza wakiwa kama wamechoka humu
 
Kwenye huu uzi Kuna kila dalili za magent wa wahindi kuwepo,hauwezekani watu Wanaweka mikeka ambayo haijalipiwa na baadae wanasema wamekula bila ya kuweka mkeka ambao kweli umeshinda,Hili ni jiwe la gizani tu,ila kwa mtu mwenye akili atakuwa amenielewa.
Alafu pia huwezi kusisitizia watu kuwa betting ni biashara rasmi,hiki kitu hakiwezekani,kubeti kunakupa hela ndio ila lazima upepo uwe upande wako,biashara ya vitumbua ikikudodea unaweza hata kuvila mwenyewe,sasa kanji akikupiga we unabaki na nini.tusiwapoteze watu,, pesa inapatikana ndio ila sio guarantee..
 
Dah hii game ya Arsenal kwa kona nane cjui yaani wote wanacheza wakiwa kama wamechoka humu
Pole sana mkuu, muombe sana MUNGU.

Ila nakumbuka kwny somo la kona ulkuepo.

Na arsenal ni moja ya TIMU mbovu sana kwny kona.

Sjajua nini kilikushawishi ukawapa over 8.5 corners.

AU LABDA ULIINGIWA TAMAA NDUGU YANGU.
 

Hatimaye safari imekamilika WON zote zimekubali Odds 24 na kitu
 
Pole sana mkuu, muombe sana MUNGU.

Ila nakumbuka kwny somo la kona ulkuepo.

Na arsenal ni moja ya TIMU mbovu sana kwny kona.

Sjajua nini kilikushawishi ukawapa over 8.5 corners.

AU LABDA ULIINGIWA TAMAA NDUGU YANGU.
Anataka tuition
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…