Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tuendeleeni na moyo huuhuu jamiiforum the best site na Uzi huu the best,muhindi azidi kukalishwa
 
Hongera sana,
Mikeka 3 nlopost kwa siku ya leo.

Nmemla mikeka miwili

Mkeka No 1 na mkeka No 3.

BIASHARA IKO VZUR SO FAR.

Watu wa namna hyo wamepotea njia, na Hawajui kinachoendelea ndan ya hili jukwaa.

Watabak tu kila siku kulalamika Eti vyuma vimekaza.
 
Siyo kukaza tuu vitavunjikaa. Acha wateseke tu kesho napita ATM naongeza mtaji. 2018 kitaeleweka tu. Mungu akuzidishe maarifa mkuu lakini pia katika shughuli yoyote ya kuweka chakula mezani utakayoigusa. Ubarikiwe sana.
 
Sio mbaya, kesho nayo siku.

Mapambano lazima yaendelee.

THIS IS OUR TIME FOR REAL BETTING REVOLUTION
Salute to the führer, haya ni mapinduzi ya kutengeneza fedha na pesa ambayo kila mtanzania anayataka, mengine mbwembwe tu. HAPA KAZI TU.
 
Jaman mi mgeni humu naomba kuuliza princessbet wanaanza na dau la elf10? Ni mzoefu wa mkekabet na mbet nataka nihamie princessbet
 
12WOOOOOON/14TTL
MUNGU ALIKUWA MWEMA ANAENDELEA KUWA MWEMA LEO NAYO N SIKU NJEMA MREJESHO WAJANA
 
Wapakeee [HASHTAG]#OILCHAFU[/HASHTAG]
 
BET WON, Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…