Mkuu hizi za Australia vp za asubuhiUbarikiwe sn
Ha ha ha......Wapakeee [HASHTAG]#OILCHAFU[/HASHTAG]
Tukiendelea hv.Hahahaha mkuu nipo, vimitaji vyetu vya kuokotaokota jana nikaamua kujilipua naona moja imenigomea, hongera sana naona muhindi unamchapa vibao tu
Nausuka mkeka wake tupate hela ya supuMkuu hizi za Australia vp za asubuhi
NausubiriNausuka mkeka wake tupate hela ya supu
Hapa JF kila mtu anajitambua hakuna anaeshikiwa akili.Kwenye huu uzi Kuna kila dalili za magent wa wahindi kuwepo,hauwezekani watu Wanaweka mikeka ambayo haijalipiwa na baadae wanasema wamekula bila ya kuweka mkeka ambao kweli umeshinda,Hili ni jiwe la gizani tu,ila kwa mtu mwenye akili atakuwa amenielewa.
Alafu pia huwezi kusisitizia watu kuwa betting ni biashara rasmi,hiki kitu hakiwezekani,kubeti kunakupa hela ndio ila lazima upepo uwe upande wako,biashara ya vitumbua ikikudodea unaweza hata kuvila mwenyewe,sasa kanji akikupiga we unabaki na nini.tusiwapoteze watu,, pesa inapatikana ndio ila sio guarantee..
Nausuka mkeka wake tupate hela ya supu
Yanakujampwaampwaa lete maprediction ya leo mkuu
Hizi za lini bossPesa hii
Tunasubiri chiefNausuka mkeka wake tupate hela ya supu
Hii mikeka ni Copy and Paste kutoka kwa Mkuu DeepPondKwenye huu uzi Kuna kila dalili za magent wa wahindi kuwepo,hauwezekani watu Wanaweka mikeka ambayo haijalipiwa na baadae wanasema wamekula bila ya kuweka mkeka ambao kweli umeshinda,Hili ni jiwe la gizani tu,ila kwa mtu mwenye akili atakuwa amenielewa.
Alafu pia huwezi kusisitizia watu kuwa betting ni biashara rasmi,hiki kitu hakiwezekani,kubeti kunakupa hela ndio ila lazima upepo uwe upande wako,biashara ya vitumbua ikikudodea unaweza hata kuvila mwenyewe,sasa kanji akikupiga we unabaki na nini.tusiwapoteze watu,, pesa inapatikana ndio ila sio guarantee..
Nimekuelewa deeppond hailipiii mikeka kwa sababu haonyeshi slip kuwa kalipiaaa hata ukinichukia nichukie ukwel ndio huo huwezi kunidanganya mm msomi et stake 40000 mrejesho 130000 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lipia tuone acha kudanganya watu waweke alafu wewe huweki.........anyway sijamlazimisha deepond kuweka mkeka alioulipia but Mara chache aweke watu waaaminiiiKwenye huu uzi Kuna kila dalili za magent wa wahindi kuwepo,hauwezekani watu Wanaweka mikeka ambayo haijalipiwa na baadae wanasema wamekula bila ya kuweka mkeka ambao kweli umeshinda,Hili ni jiwe la gizani tu,ila kwa mtu mwenye akili atakuwa amenielewa.