Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Kama kawaida yako mkuu....badilika kidogo watu wanajitoa sana humu,usisite kutushirikisha kabla ili nasi tuokotepoEvery little helps brothers.
Nimekuelewa deeppond hailipiii mikeka kwa sababu haonyeshi slip kuwa kalipiaaa hata ukinichukia nichukie ukwel ndio huo huwezi kunidanganya mm msomi et stake 40000 mrejesho 130000 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lipia tuone acha kudanganya watu waweke alafu wewe huweki.........anyway sijamlazimisha deepond kuweka mkeka alioulipia but Mara chache aweke watu waaaminiii
Chief nyingine hazionekaniki vizuri . ThanksMKEKA No. 1
Odds: 2.65
Stake: 38,000 Tsh
Marejesho: 100,800 Tsh
Nb: huyo wa kwanza ni Newcastle jets wanaume, huyu wa mwisho NI newcastle jets wanawake.
Mapambano yanaendelea
View attachment 662428
Doh....unataka akuonyeshe kama amelipia?Nimekuelewa deeppond hailipiii mikeka kwa sababu haonyeshi slip kuwa kalipiaaa hata ukinichukia nichukie ukwel ndio huo huwezi kunidanganya mm msomi et stake 40000 mrejesho 130000 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lipia tuone acha kudanganya watu waweke alafu wewe huweki.........anyway sijamlazimisha deepond kuweka mkeka alioulipia but Mara chache aweke watu waaaminiii
Daah Wabongo hawaishiwi Sababu aisee....Mbona wengine tunacopy hiyo hiyo mikeka na tuna kula.......Embu tafuteni points za msingi basi...Maana hata kama hakuoneshi Slips kikubwaa anachumbua na mikeka yake asilimia kubwaa inatiki.Nimekuelewa deeppond hailipiii mikeka kwa sababu haonyeshi slip kuwa kalipiaaa hata ukinichukia nichukie ukwel ndio huo huwezi kunidanganya mm msomi et stake 40000 mrejesho 130000 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lipia tuone acha kudanganya watu waweke alafu wewe huweki.........anyway sijamlazimisha deepond kuweka mkeka alioulipia but Mara chache aweke watu waaaminiii
Mkuu tip nimeokota humu ndani jana usiku, tatizo watu hatupitii thread kiundani.Kama kawaida yako mkuu....badilika kidogo watu wanajitoa sana humu,usisite kutushirikisha kabla ili nasi tuokotepo
Doh....unataka akuonyeshe kama amelipia?
Ok.....ila unatutenga sana mkuuMkuu tip nimeokota humu ndani jana usiku, tatizo watu hatupitii thread kiundani.
Bas wakuuuu nimewaelewaaa cha msingi anayekula bas aseme n ya deepond tuamin ili tumfatee na sisiiiiiDaah Wabongo hawaishiwi Sababu aisee....Mbona wengine tunacopy hiyo hiyo mikeka na tuna kula.......Embu tafuteni points za msingi basi...Maana hata kama hakuoneshi Slips kikubwaa anachumbua na mikeka yake asilimia kubwaa inatiki.View attachment 662433....Mi namfuataga angalau katika mikeka minne yake miwili lazima nimpige mhindi.....So tutafute sababu nyingine maana huu utakua uswahili sasa....
Stake yake wewe inakusaidia nini... Yeye kaweka tips, ukitaka chukua kama huziamini achana nazo.... Deeppond yuko vizuri sana tuNimekuelewa deeppond hailipiii mikeka kwa sababu haonyeshi slip kuwa kalipiaaa hata ukinichukia nichukie ukwel ndio huo huwezi kunidanganya mm msomi et stake 40000 mrejesho 130000 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lipia tuone acha kudanganya watu waweke alafu wewe huweki.........anyway sijamlazimisha deepond kuweka mkeka alioulipia but Mara chache aweke watu waaaminiii
MKUU GODZILANimekuelewa deeppond hailipiii mikeka kwa sababu haonyeshi slip kuwa kalipiaaa hata ukinichukia nichukie ukwel ndio huo huwezi kunidanganya mm msomi et stake 40000 mrejesho 130000 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lipia tuone acha kudanganya watu waweke alafu wewe huweki.........anyway sijamlazimisha deepond kuweka mkeka alioulipia but Mara chache aweke watu waaaminiii
Ok ngoja aje atakupa majibu,ingawa kwa upande wangu sioni sababu ya kunionyesha paid slip maana za kuambiwa huwa nachanganya na zangu for win or loss huwa siogopi kutumia akili zangu piaView attachment 662434Afanye kama Mr wise
Nipo Kiongozi wangu, sometimes nachezea za uso naugulia kimya kimya, Nipo mkuu vita vina endelea.Ok.....ila unatutenga sana mkuu
Duuh kwan tatizo nini?Nimekuelewa deeppond hailipiii mikeka kwa sababu haonyeshi slip kuwa kalipiaaa hata ukinichukia nichukie ukwel ndio huo huwezi kunidanganya mm msomi et stake 40000 mrejesho 130000 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lipia tuone acha kudanganya watu waweke alafu wewe huweki.........anyway sijamlazimisha deepond kuweka mkeka alioulipia but Mara chache aweke watu waaaminiii
Nimekuelewaaa sana pididy........basi mkuu deepond usihofu na huu mjadala uishe uendeleeee kutoa tips kama kawaidaaaa[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]MKUU GODZILA
NAAMINI UKOSIKUNYINGI HAPA NAAMINI UNANIKUMBUKA. HUWA NANYOOSHA .NILISHAWAHI KUKUSHAURI CHUKUA HUKU YANAYOKUFAAA WE SWALA LA AMELIPA AJAIPA HAITAKUSAIDIA...KUMBUKA ANAKIUWEKEA BUREE UNAAMUA MWENYEWE UGWATE USIFWATE
KIZURIZAIDI ANAWEKA TIPS UNAIONA UNAWEZA ANGALIA MWENYEWE WOOON OR LOST..KAMA MKEKA UNASHINDA WEWE TKT ZA MTU ZA NINI..
UNAKUMBUKA ULIWAHI KUNILAUMU SANA HUMU HATA UKAWEKA GRP LAKOMOJA NKAJIUNGA NALO ILE NIMERUSHA TU TIPZ HIZI ZA WOOOON UKANIONDOA ...
TUFIKE WAKATI TUWE KITU KIMOJA ATUKUJA KUANGALIA NANI ZAIDI YA MWENZIE AMA HUYU MPAKA AWEKE TKTS ZAKE..
KIBAYAAA KTKT WATU WANAOJISAHAU AWANA KUMBUKUMBU N WEWEE GODZILA...UNASIFIAA WATU UNASHUKURU GAFLA UNAWAGEUKA
MIMI ULISHAWAHI KEMEA SANA PRED ZANGU KUISHIA KUSEMA AZINA MAANA NA WENZIWAKO DARMIANI NK....
NI WEWEEE WEWEWW UNAKUJA INBOX KUOMBA SRC YA HIZOO APP HAPO NDIPO NKACHOKA LAKINI KWANUPENDO NILIKUPA ZOTE ULIZOITAJI
TUMEPATA MTUA ANACHAGUA TIMU KWENYE PRED NA ZINASHINDA TUMSHUKURU TUACHANE NA UNAFIKI KAMA NA WEWE UKO KAMA DARMIAN NAHISI UTATESEKA HUMU
DARMIAN ALISHAWAHI ONGEA MBOVUSANA NA HIZI TIPS ZA WOOOOON UNAZOZIONA ....NIKAMNYOOSJHA SIKUMOJA NKAMWAMBIA KACOPY HIZO UKIKOSA NJOO NITUKANE AKURUDI TENA
NINACHOMWONAAA ANA MATATIZO PALE ANAPOPIGA KELELE ZA TIPS ZA MWENZIO ASIWEKE ZAKE WATU WAFURAHI PAMOJA
LENGO LETU KUMPIGA MHINDI LETENI TIPS SRS TOYOTE MWENYE KUME ZA ATAMEZA
NAWATAKIA MAISHA.MEMA PRED HUMU NILISHASEMA AZIIISHI YATABADILIKA MAJINA TU SIMU IKIISHA CHARGE
RGDS
PDIDY
Mimi nimeweka hapoo juu mikeka ya jana aliyopost Deeppond tena niliikopi kama ilivyo na yote imetiki sijui mnataka ushawishi ganiBas wakuuuu nimewaelewaaa cha msingi anayekula bas aseme n ya deepond tuamin ili tumfatee na sisiiiii
Nimekuelewa mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kuna watu humu ni wazuri sn wa kulalamika utafkiri wanawalipa wanaojitolea kurusha tips humu. Kikubwa zaidi wao hatuoni wakiweka tips zao ... yani ni kulalamika tu mwanzo mwisho.
Sasa mtu anataka mpk uthibitisho wa stake, seriously?? ... sijui niite ni utoto ama nn. After all hushikiwi bunduki na kulazimishwa uzifuate. Ni hiari yako kuzifuata au kuachana nazo.
Tuanchane na mentality zisizo na maana.