Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Chief umeongea ukweli jamaa ni mnafiki SANA na Ana wivu wa kijinga . Nashauri tuwaache hao wapumbavu
 
Mi nawasiwasi wanatumika na Kanji hao kuja kuwavunja watu mioyo kama akina Deeppond ili tuendelee kupigwa na kanji
 
MKEKA No. 1

Odds: 2.65

Stake: 38,000 Tsh
Marejesho: 100,800 Tsh

Nb: huyo wa kwanza ni Newcastle jets wanaume, huyu wa mwisho NI newcastle jets wanawake.

Mapambano yanaendelea
View attachment 662428
Naona odds zinatafauti kubwa SANA zako nimekosea selection nini ??
 

Attachments

  • Screenshot_2017-12-29-10-03-06.png
    43.8 KB · Views: 63
  • Screenshot_2017-12-29-10-02-55.png
    43.3 KB · Views: 57
dah kuna watu watu wana akili ndogo sana au eti anajiita msomi! huyu mm namuona mpumbavu na lofa tu ,yaani DeePond aweke slip aliyolipia humu ili iweje?mbona ww hujawahi kuweka yako!!au mtaji umempa ww ..ww inaonakana huko unakoishi unapenda sana kuchungulia maisha ya watu
 
P Didy,Deepond endeleeni kuturushia tip zenu hapa mchango wenu ni mkubwa sana hapa jukwani.
Msikatishwe tamaa na huyo mtu mmoja tupo pamoja.
 


Wewe jamaa utakuwa wakala wa kanji unataka kutuvuruga au una elements za uchawi. Watu tunampiga kanji kupitia DeepPond wewe unaleta usela mavi.

Jiheshimu kwasababu hujalazimishwa kumfuata mtu humu.
 
DeepPond naheshimu sana kazi zako na kwa moyo wako wote unaojitolea, Mungu azidi kukubariki kaka.
Mkuu kwa sisi wenye mitaji midogo tufanye nini mana odds nyingi za ushindi ziko ndogondogo sana?
 
Wewe jamaa utakuwa wakala wa kanji unataka kutuvuruga au una elements za uchawi. Watu tunampiga kanji kupitia DeepPond wewe unaleta usela mavi.

Jiheshimu kwasababu hujalazimishwa kumfuata mtu humu.
Mkuuu ulishawahi kula million kwenye kubeti.........[emoji115]
 

Acha uzezeta, mtu kulipia au kutolipia haikuhusu. Chagua baadhi ya timu kwenye mkeka wake kama unataka, kama hautaki unakausha. Sio unaleta habari za kike, eti mbona halipii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…