Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo



Mkuu achana nao hao, yaani tena kupost hivi au kujibishana nao unawapandisha sana.

Watu tunaona matunda, wao wanaleta uchawi.

Kwa kifupi mkuu wewe endelea, Mwenyezi Mungu atakubariki tumnyooshe huyu muhindi.

By the way mkeka wetu namba moja game za asubuhi tayari tushamalizana kazi
 
Nimewaona hawa ...

Tianjin Rong Gang - Shanxi Dragons
Over 225.5 points
1.50

Odds: 1.5

Kuna wengine wanaitwa Zhejiang Guangsha lkn naona Premierbet & Princessbet kote hawajawapa Over/Under ... nlitaka niwape Over 120.5

hii je inafaa kuwapa under ama over
 

Attachments

  • Capture.JPG
    10.8 KB · Views: 36
Mwenye 1000 tigopesa anisaidie ya mtaji nitafute odds mbili za uhakika namrudishia hata mpaka ukichanika nitamrudishia huku nilipo no tigopesa

pole sana mkuu...,ningekuwa hata na elfu 10 ningekurushia
 
Mimi binafsi ndio maana sipendi kuchangia majibizano yasio na maana

Hiko Hivi:
Betting ipo kama wewe (Mchezaji unavyoichukulia), maana yake ni hii, ukiichukulia kama mchezo wa kukufurahisha basi ndivyo itakavyokua na ukiichukulia kama kazi kwako ama biashara kwako ndipo itakavyokua, hapo unaweza kuta una mil hadi 5 na kila siku unazicheza kwa odds 2 au 1.5 nk.

Sasa usilazimishe vile unavyochukulia kimtazamo wako ama vile jinsi inavyokufaidisha iwe sawa na mwenzio..Its crazy aisee iache iwe ilivyo tu, kama wewe kwako unajifurahisha mwache anayeifanya biashara na kupata faida aendelee kufanya yake

Asanteni nyote (wafanyabiashara/Wawekezaji na wanaojifurahisha)
 
Usife moyo kijana tunakutegemea sana.. ukimla muhindi nami nafurahi sana mana muhindi ni adui yetu sote nakumbuka jana gem ya arsenal nlikua nahesabu kona ili zisifike kumi na mbili na zisipungue tisa ili tu muhindi aliee na wala sikubet ila nlikua nawaombea ninyi mliobet mfanikiwe. usife moyo na mapambano yaendelee..
 
mwenye idea anipe hata kidogo
mkuu si nimekuona MMU mara hii ushakuja huku?? hahahaha nakutania bosi wangu
Kwanza inabidi uchague kampuni unayotaka kuitumia/kuzitumia mfano princessbet, meridianbet, sportspesa, m bet n.k then ukuja huku unakopi tu na kupest.
NB: WAPO WAJUZI WA MAMBO WATAKUJA KUKUELEKEZA ZAIDI.
 
je biko je
 
humu wengi wanatumiakampuni gani kubet?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…