Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Guys!let us grow up, mi nadhani humu tumo watu wazima. Hakuna haja ya kujibizana wala kutukanana.

Hivi unapata faida ipi kumtusi mtu tena actually si mtu maana humu hamjuani wala kuonana that means unatukana maandishi ye mwenzio usiyemjua wala hakujui?Kwann msitie bidii ktk yaliyo ya msingi na kupuuza yapaswayo kupuuzwa?
Ebu kwa wale watoto jaribuni kuficha utoto wenu basi dah(
 
Basiasi deeppond mbona hatukan kama wakuu wengine mnavyotukana......anyway ndivyo mlivyo nitawaacha dunia itawafundishaa
 
Yaap Mr wise wambie maana m Niko kimya wanaendelea kunitukana na sitonyamazaaaa nitaongea ukweli siku zote iwapo utanitukanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…