Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Happ mkuu umedanganya maana ya kushinda vipind vyote ni ile kila kipind kinapoanza kinahesabiwa matokeo yake yaan kama kipind cha kwanza 3 bas cha pil kinapoanza zile 3 hazihesabiki tena mnaanza upya na cyo kama ulivyosema et cha pil akifungwa mbil bado umekula


Hio tunaitaga NGUMKUMEZA




 

Naaam hapo nme kuelewa ni aidia nzur sema inahtaj kwel mpunga wa mana
 

Kipengele hiki huwa kina changanya sn watu na kinaletaga sn mvutano ss muafaka me leo naenda kuulza wahucka wenyewe waniambie haswa inakuwaje hlf ntaleta mrejesho hapa
 
Sasa hapo mkuu mbona utakua umeweka mikeka kama 10

Huyu anapotosha sijui hata kama amewahi cheza ngumu kama hujui uliza kuongoza mwanzo mwisho maana yake ni kushinda vipindi vyote kama chelsea atashinda cha kwanza 3bila cha pili kikaisha bilabila maana yake cha pili ni droo kwahiyo unakuwa umepigwa na kama mtu aliyecheza ile option ya 1/x ndo anakuwa kapiga...ngumu kila dk 45 zinamatokeo yake.
 
juve jana kapita na wengi ...nilipumzika tu

leo nimecheza hivi
ingolstadt win
estac troyes win
merseille win
bournmouth win

5000 returns 70900........
 

hamna mkuu ukiongoza half time basi second half hata usipopata bao bado na mpira ukaisha timu yako imeshinda umekula bado mkuu,mimi nimeshabet hivyo na nikapata hela.
 

mkuu hebu fuatilia vizuri halafu uje utuambie,1/x ni option tofauti kabisa
 
Mkuu (mbiza)...yaani kwa lugha nyepesi unabet timu fulani iongoze 1st half tu?...maana yake kipindi cha pili hata kama timu iliyokuwa inaongoza 1st half ikishindwa upo safe?....Yaani wewe ni kipindi kimoja tuu una bet?.....Kampuni gani hiyo mkuu?
 
yani wakuu namaanisha unapoipa timu iongoze mwanzo mwisho ni kwamba mpaka half time wawe mbele na mwisho wa mchezo(second half) pia wawe mbele,kwa mfano mpaka half time wakiwa wanaongoza goli 3 halafu second half mabao mawili yarudishwe mpira ukaisha 3:2 timu bado imeshinda,hivyo nawe unakuwa umeshinda bcoz bado upo mbele kimabao(umeongoza).all in all dakika 90 zote uongoze wewe.first half uongoze wewe na second half pia uongoze wewe.
 
Meridian,kuongoza mwanzo mwisho home timu 1-1 na 2-2 kwa away team,kuongoza vipindi vyote home team HW2 na away team ni AW2.
Kwa mhndi cheki set ya ngumu kumeza.
 

Mkuu mbiza wewe ndio upo sahihi. Kuongoza mwanzo mwisho maana take ndio hiyo uliyosema hapo juu. Mimi nacheza Premier betting na nishampiga mdosi kwa mtindo huo. Kama vp C.E.O Rockcity native aje kutoa mwongozo hapa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbiza wewe ndio upo sahihi. Kuongoza mwanzo mwisho maana take ndio hiyo uliyosema hapo juu. Mimi nacheza Premier betting na nishampiga mdosi kwa mtindo huo. Kama vp C.E.O Rockcity native aje kutoa mwongozo hapa.

Hapa leo ndio utakuwa mwisho wa ubishan huu mana me pia huwa nakosa kujua lp jbu shh ila leo najua kita eleweka tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbiza wewe ndio upo sahihi. Kuongoza mwanzo mwisho maana take ndio hiyo uliyosema hapo juu. Mimi nacheza Premier betting na nishampiga mdosi kwa mtindo huo. Kama vp C.E.O Rockcity native aje kutoa mwongozo hapa.

Kuna HW2/AW2. na HT/FT unajua tofauti yake? Hiyo ya kwanza NI LAZIMA timu iongoze BOTH HALVES kwa maana ya kuwepo kwa tofauti ya goli 1+ kwa timu husika dhidi ya nyingine!Kwa case ya pili,timu inategemea umeipa option ipi cuz zipo nyingi...kama ni ushindi basi timu NI LAZIMA iongoze kipindi cha kwanza na mechi ikiisha awe mshindi hata kama kipindi cha pili walitoka draw au alipoteza
 
Last edited by a moderator:
naam mkuu mi naizungumzia option hiyo ya pili kwani ndio ipo kwenye premier betting,akiongoza kipindi cha kwanza,kipindi cha pili matokeo yakibaki vile vile mfano 2:0 au wakafungwa goli moja ikawa 2:1 ila mpira ukiisha akawa kashinda wewe unakuwa umeshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…