sergey
JF-Expert Member
- Dec 13, 2012
- 217
- 55
naaam! Hii ndo sahihi,so namaanisha kwamba unachukua timu mbili mfano chelsea vs burnley halafu ya pili labda livapul na stoke,so unachofanya ni unampa chelsea aongoze mwanzo mwisho yani mpaka half time aongoze yeye na pia mpaka full time aongoze yeye,ila cha msingi ni kwamba kipindi cha kwanza aongoze na mwisho wa siku ashinde,kwa hiyo kama akipata goli 3 mpaka half time ila kipindi cha pili akafungwa goli mbili matokeo yakawa 3 kwa 2 bado utakuwa umeshinda bcoz ameongoza mwanzo mwisho.kwa hiyo katika ile mikeka tisa yote utampa aongoze mwanzo mwisho halafu mechi ya pili utaweka options zote 9 tofauti tofauti.labda nikuoneshe mfano umechagua mechi namba tisa na 10,man u na arsenal halafu stoke na liva,so mkeka wa kwanza unaweka hivi 9-1
10-1 unatoa labda jero then
9-1
10-2 then
9-1
10-3 then
9-1
10-4 then
9-1
10-5 then
9-1
10-6 then
9-1
10-7 then
9-1
10-8 na
9-1
10-9
so kama timu ya man itaongoza mwanzo mwisho basi matokeo ya mechi ya pili hata iweje utamla tu mkeka.nadhani hapo utakuwa umeelewa mkuu.
Happ mkuu umedanganya maana ya kushinda vipind vyote ni ile kila kipind kinapoanza kinahesabiwa matokeo yake yaan kama kipind cha kwanza 3 bas cha pil kinapoanza zile 3 hazihesabiki tena mnaanza upya na cyo kama ulivyosema et cha pil akifungwa mbil bado umekula
Hio tunaitaga NGUMKUMEZA
yap but ni michezo ambayo huwa ina pointi nyingi mfano kama ukiweka jelo kwa kila mkeka jumla inakuwa 4500,siku mambo yakienda vizuri mfano flani aongoze mpaka half time then second half mwingine akarudisha na kushinda utakuwa unacheza kwenye elfu 30000 na ushee.30 mfano kwa buku 4500 si haba mkuu.