Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiyo HM2/AW2 kwa premier bet sijawahi kuiona sijui ni kampuni gani wanatumia hiyo. Kwa HT/FT upo sawa.
 
wazee vipi mie nimeshajilipua
Levante
Willen
Hertha Berlin
all win
nimetupia 5000
96745 ndio mpango kama ikitiki
 
chenga tu yaan sielew hata kidogo hii ndio shida ya kutojifunza kamali tangu mdogo..yaan hapa sielew kabisaaa.HONGERENI WACHEZA KAMALI
 
Mikeka ya Leo wakuu... Nataka nikopi na kupesti nilibanwa na kazi
 
Hii kitu inafaida ukiotea,juzi ligi ya uingereza nilipiga laki 8
 
wadau vipi virtual football wanaicontrol wenye mfano meridian ukitupia mpunga mrefu huwezi kuwin
 
dude hongeraaa....uliweka sh.ngapi?

Niliweka man city atashinda,Liverpool atashinda,Chelsea atashinda moja ya kipindi cha kwanza au cha pili,arsenal kipindi yoyote,nikaweka laki 4 nakushinda laki 8 na tisini hivi.
Yaani ina maana hata arsenal au Chelsea wafungwe cha msingi washinde half time moja
 
Nipeni mkeka wa Football wa usiku huu.. Raimundo leo naona kuna pesa kule kwetu NBA.. hebu nipe mkeka wa fasta
 
Last edited by a moderator:

dude hongera tena though ume-risk sana kuweka lak 4 kwa possible amount lak 8

friend of my friend from IFM aliweka elf 20 akashinda m 18

me sina bahati .....niliwahi kula Mara moja tuu
 
dude hongera tena though ume-risk sana kuweka lak 4 kwa possible amount lak 8

friend of my friend from IFM aliweka elf 20 akashinda m 18

me sina bahati .....niliwahi kula Mara moja tuu

Aisee mi nilikuwa kama Nina uhakika maana Chelsea kushinda,arsenal kushinda,Liverpool na man city kushinda kuna uwezekano mkubwa,mfano ukiweka 10,000 unashinda 20,000.mi nilifanya tu risky,sasa rafiki yangu aliweka laki mbili akabet Liverpool atafunga vipindi vyote,man city ataunga vipindi vyote,Chelsea atashinda,arsenal atashinda na Tottenham atashinda,akapiga million mbili,sema hatujui matokeo ukibahatisha unaweza kupata mtaji mkubwa
 
hahahaha kweli betting.....ts a PROBABILITY

poa mkuu
 
Nipeni mkeka wa Football wa usiku huu.. Raimundo leo naona kuna pesa kule kwetu NBA.. hebu nipe mkeka wa fasta

Mkuu mi zikiwa nyingi nachanganyikiwaga aisee, tuwape GSW kushinda quarter 1 kwa handicap ya 2.5. Dallas hawako vizuri na jana walicheza game, watakuwa wamechoka.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mi zikiwa nyingi nachanganyikiwaga aisee, tuwape GSW kushinda quarter 1 kwa handicap ya 2.5. Dallas hawako vizuri na jana walicheza game, watakuwa wamechoka.

Hapo sawa.. naona kuna Rockets na Memphis pia wanaweza toa pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…