Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole sn mkuu.
Uskate tamaa

No retreat, no surrender.
Mapambano lazima yaendelee.
 
natembea na hizo odd ila kosa nkiweka timu tatu lazima moja ichane
Jaribu kuwa unafanya unaipost kwa ajili ya ushaur kutoka kwa wadau.

Au km match selection inakushnda,
Jaribu kucopy mikeka yang km ilivyo.
 
Pole sn mkuu.
Uskate tamaa

No retreat, no surrender.
Mapambano lazima yaendelee.

That's for sure mkuu ... nimekula japo kidogo, hela niliyoikosa ndio inanisikitisha sn. Suala la ada ya dogo ilikuwa sorted kbs. Si unajua baada ya kuukaribisha mwaka sasa tumeingia kwenye majukumu (school fees week) ...
 
Mungu n mwema atatufanikisha
 
Asanteni sana ndugu zangu kwa mawazo yenu na busara zenu hakika Jf ni zaidi ya stock exchange ......

Mwaka huu lazma nisimamishe msingi wa kanyumba hata ka single room
Hap new year all
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hongera sn.
 
Jaribu kuwa unafanya unaipost kwa ajili ya ushaur kutoka kwa wadau.

Au km match selection inakushnda,
Jaribu kucopy mikeka yang km ilivyo.
daah ntafanya hivyo maana tatizo timu nnazochagua zishinde kweli zinashinda tatizo ni ipi ikae na ipi kwenye mkeka mmoja
 
That's for sure mkuu ... nimekula japo kidogo, hela niliyoikosa ndio inanisikitisha sn. Suala la ada ya dogo ilikuwa sorted kbs. Si unajua baada ya kuukaribisha mwaka sasa tumeingia kwenye majukumu (school fees week) ...
KESHO,

Nayo siku, Unawz mkunja hela ya haja ukasahau kabisa machungu ya leo.

RIDHIKA NA ALICHOKUPATIA MWENYEZ MUNGU.

UKIANZA KUKUFURU KWA KIDOGO ULICHOPATA LEO,

NEXT TIME HATOKUPA KIKUBWA ZAIDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…