Ukisuka mkeka ni lazima usuke mikeka kimkakati.daah ntafanya hivyo maana tatizo timu nnazochagua zishinde kweli zinashinda tatizo ni ipi ikae na ipi kwenye mkeka mmoja
WALE WENZANGU MLONIFATA KTK MKEKA No. 2
Nna furaha kuwaambia kua tayar
BET WOOOOOOOOOOON
Baada ya wakina man utd tayar kufikisha corner 9
View attachment 665935
Heri ya mwaka mpya kwenuuView attachment 665948View attachment 665951View attachment 665952View attachment 665954View attachment 665955tukanywe beer sasa
Mapambano yanaendeleaHuu mkeka namba 2 niliuchelewa nikasikitika sana, ila kesho pia ni siku
Dah, waisrael kwny 2+ hawaelewekagi haoNipo inplay
Hawa wa israel nime omba goal 2 tu naona wametoka kukosa penalty apa huu si ndo uchaw wenyew
Mkuu watu wengi wameshalala au wapo mihangaikoniWale wenzangu wa princess bet.
Usiku huu odds naona ni kubwa sn kwny game za KESHO.
Wapuuz hawa wakat wapo first halfDah, waisrael kwny 2+ hawaelewekagi hao
Wanapenda sn kwnd vice versa na mikeka ya watu.
Unataka kutuwekea kitu cha kesho ?. Suka tuWale wenzangu wa princess bet.
Usiku huu odds naona ni kubwa sn kwny game za KESHO.
Sawa KiongoziPole sn,
Usjali, KESHO nayo siku.
Ni mwendo wa odds 2 mpk 4
Andaa mtaj wa kutosha.
KESHO PESA IPO
Wale wenzangu wa princess bet.
Usiku huu odds naona ni kubwa sn kwny game za KESHO.
Mkuu pole tukomae mimi nilishakimbiza bado nyingine kama robo kwa kila mmoja ndo nataka niitafutie humu ninao wawiliThat's for sure mkuu ... nimekula japo kidogo, hela niliyoikosa ndio inanisikitisha sn. Suala la ada ya dogo ilikuwa sorted kbs. Si unajua baada ya kuukaribisha mwaka sasa tumeingia kwenye majukumu (school fees week) ...
Unapishana na hela weweDuh jamani naona ligi kama hazijachanganya ipasavyo sijui nitulie mwezi was kwanza upite
Hilo tatizo ninalo mkuu waga nina vishughuli sikaagi na simu sanaUnapishana na hela wewe