Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nimekuelewa mkuu
 
Unapishana na hela wewe
Lakini pia siku mbili hizi imekua ni inplay sana ndo imebeba sana wadau na hiyo inahitaji mtu mwepesi sana icho kitu kinanishinda ile mikeka makini yenye odds chache ndo mizuri kibiashara zaidi na inapoharibika inatikisa uchumi haswa
 
Yaan wee umekariri Ligi inayoeleweka ni England tu.

Yaan ungekua hamna Ligi ya kipuuzi kama Ligi kuu england.

HYO LIGI INANIKERA MPK BASI
Inakuaga na matokeo ya kipuuz puuz sana.

NIMEBAKI KUISHABIKIA UPANDE WA CORNER TU.
 
Dah...derby na Leeds ***** zao.
 

Attachments

  • IMG_20180102_000955.jpg
    37.1 KB · Views: 35
Duh jamani naona ligi kama hazijachanganya ipasavyo sijui nitulie mwezi was kwanza upite
mkuu hii ni business kama zingine, endelea kucheza ili uliwe upate maexperience ya kutosha
 
Inawz kua bahati yako, keep praying
Hamna kitu hapo mkuu naona bado hawaja update tu mkuu mkosi wa kupishana na hela ninao najifikiria kukwepa kuchapa stake ila naweza pishana na hela
 
Mkuje huku tushauriane tim zinazo weza kushinda acha tubeti coz life gum Na hapo huwa sio shabiki wa mpira [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio kwanza naanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…