Angepeleka tangazo lake kule jukwaa la mahabaJamaa Kashindwa kutuheshimu aiseee, sisi tunajadil mengine yy analeta social media tena!
Possible! 80%Kuna mechi inacheza now nimeweka
Club Friendlies
Singida United - Zimamoto
Total Total Under 2.5 kuna point kama 1.85
maombi yenu hapa
Hapana story tu kwenye me natumia pc sekunde tu kujiunga na kuweka pesa pia sio wasumbufu kama watu wanavyo sema mimi nime jiunga leo na leo nimeweka pesa kwa ya majaribio buku jero tu na mikeka nimeweka humu tayari nataka nione ulipaji wao upo vipiKha!
Kumbe ni hao wazee nnaoskia wana complications kibao.
HAPANA, HIZO HEADER WAKAE NAZO TU.
Hyo ni kawaida kwa man city akiwa away.
Ila akiwa nyumbani ni mzee wa 3+ na 4+
Katka mechi zote 10 alzocheza home this season,
Man city ametoa goli 3+ kwny mechi 9 akiwa pale pale ittihad stadium.
Be careful brother
Hata km option nzur kias gan.inaitwa https://1xbet.com naona jamaa wana option nzuri kiana Mkuu
Ushafahamu after bet won,Hapana story tu kwenye me natumia pc sekunde tu kujiunga na kuweka pesa pia sio wasumbufu kama watu wanavyo sema mimi nime jiunga leo na leo nimeweka pesa kwa ya majaribio buku jero tu na mikeka nimeweka humu tayari nataka nione ulipaji wao upo vipi
Umetumwa waambie sijapokelewawakuu kwa ushauri wangu tuachane na football ,basket ndo ina pesa ukitembea na single bet alafu uweke mpunga wa kutosha
Ndo maana halisi ya hili jukwaa,Nimetoa tu angalizo ... bado yeye anayebet ana uamuzi wa mwisho. Kumbuka De Bruyne & Silva ni moja kati ya top goal assists ktk kikosi cha Man City huwezi ukachukulia poa (rule out) kukosekana kwao. All in all hakuna anayejua 100% nini kitatokea ndani ya dk 90.
Hahahaha poa MkuuHata km option nzur kias gan.
At the end natakiwa kuchukua muamala.
Sasa kampun yenyewe naskia hata TZ hawajasajiliwa.
2nd, naskia kudeposit n withdraw wanadai cheti cha ndoa na ubatizo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16](jokin)
ILA KIUKWELI,
SIPENDAGI KABISA UBABAISHAJI, MKEKA WANGU UKISHATICK
Naitaka hela yangu on spot, habar za
-Eti fungua ac benki.....
-Eti nenda western union.....
-Eti Fanya ku upload pass ya kusafiria....
Kha!
Hayo yote ya nn.
NI BORA TU NIENDELEE KOMAA NA HAWA HAWA MABINTI WA MFALME.
Ndo maana ake.Away team to score in both halves, in kwamba tim ya ugenin ifunge kila kipindi, nipo sahihi wadau!!!!????
Hata km option nzur kias gan.
At the end natakiwa kuchukua muamala.
Sasa kampun yenyewe naskia hata TZ hawajasajiliwa.
2nd, naskia kudeposit n withdraw wanadai cheti cha ndoa na ubatizo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16](jokin)
ILA KIUKWELI,
SIPENDAGI KABISA UBABAISHAJI, MKEKA WANGU UKISHATICK
Naitaka hela yangu on spot, habar za
-Eti fungua ac benki.....
-Eti nenda western union.....
-Eti Fanya ku upload pass ya kusafiria....
Kha!
Hayo yote ya nn.
NI BORA TU NIENDELEE KOMAA NA HAWA HAWA MABINTI WA MFALME.
Ishu ni kwamba wengine hatuijui Basket ndio sabab ukiona nimebet uko naangaliaga Under na Over tuwakuu kwa ushauri wangu tuachane na football ,basket ndo ina pesa ukitembea na single bet alafu uweke mpunga wa kutosha
Kwa anayejua sheria za soka za bongo atupe ufafanuzi ktk hiliNafikiri itachezwa fulltime maana naona makampuni yameiweka tena ingekuwa inachezwa kwa muda uliobakia wasingeiweka
Nimeona mzee kutoa pesa wana anzia buku tatu nakuendelea wanatumia Airtel Money na m-pesa simple tuUshafahamu after bet won,
Utaratibu wao withdraw ukoje?
na hiyo ndo the best option mkuuIshu ni kwamba wengine hatuijui Basket ndio sabab ukiona nimebet uko naangaliaga Under na Over tu
nimetoa ushauri tuu mkuu, sijasema ni lazima mkuu mambo ya kutumwa yanatoka wapi??Umetumwa waambie sijapokelewa
NI WAZO ZURI,wakuu kwa ushauri wangu tuachane na football ,basket ndo ina pesa ukitembea na single bet alafu uweke mpunga wa kutosha