Will Billy
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 299
- 385
safi sana mkuuMkuu niliiotea hii nikaweka na totenham to score both haves odds 2.02 na Southampton HT X odds 2 nayo ndiyo waliochana hawa japo kwenye kona wamenitoa mkeka mmoja
Pole sn mkuuDaaah, Kila siku nakosa timu moja, f**k why?
Ahsante mkuu, leo lete mapema mkuu, pia nitaweka wangu unisaidie comment, maana wadau wengine tunaleta mikeka hawacomment chochote humuPole sn mkuu
nani kafata hii wakuu??kwa aliyekua macho mda huu kazi hiyo
View attachment 667042
Nani atashinda third round nataka nicheze inplay au nipe option nzuri ya kucheza inplay yenye nafasi kubwanani kafata hii wakuu??
Mkuu, bas tunakuomba uwe una post mapema, mkuu. Kama mkuu deeppond. Ila waleo wa Memphims mm binafs nimeu test na naona unaelekea kutoa.wakuu basket inalipa ,,,hadi kufikia leo kwa single bet za over na under kwny basket kwa stake za laki 1 zaidi nimeshapata ela ya kodi ya miezi 6 na nimepoteza mikeka 3 tuu kati ya 10 kuanzia tarehe 28 hadi leo
Los Angeles Clippers mkuu mi kuna mkeka nlimpa ashnde first half kashafanya vizuri,,,na naona anaelekea kushinda kabisaNani atashinda third round nataka nicheze inplay au nipe option nzuri ya kucheza inplay yenye nafasi kubwa
Unadhani OT itakuwepo?Los Angeles Clippers mkuu mi kuna mkeka nlimpa ashnde first half kashafanya vizuri,,,na naona anaelekea kushinda kabisa
sawa mkuu lakini basket sio kila siku mkuu na nyingi zinachezwa mida mibovu ,ntakua natuma mapema mkuuMkuu, bas tunakuomba uwe una post mapema, mkuu. Kama mkuu deeppond. Ila waleo wa Memphims mm binafs nimeu test na naona unaelekea kutoa.
Leo kuna gemu ?wakuu basket inalipa ,,,hadi kufikia leo kwa single bet za over na under kwny basket kwa stake za laki 1 zaidi nimeshapata ela ya kodi ya miezi 6 na nimepoteza mikeka 3 tuu kati ya 10 kuanzia tarehe 28 hadi leo
sidhani mkuuUnadhani OT itakuwepo?
zipo ila sio nzuri mkuu.....tusubiri za usiku wa kuamkia kesho (saa 9 usiku)Leo kuna gemu ?
Oksidhani mkuu