Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Hawa Maritimo watafikia malengo kweli maana naona hao jamaa wapo formMKEKA No. 1
Odd: 3.68
Stake: 55,000 Tsh
Marejesho: 202,400 Tsh
Probability: 90%
Mapambano yanaendelea
View attachment 667256
Hawa waKorea wanavusha 160 leo ... lkn ngoja tuwape hivi kwa taadhari ...
Hujaangalia kwa makini.Hawa Maritimo watafikia malengo kweli maana naona hao jamaa wapo form
Pamojasana mpwaaaa tunaemwamini n mkubwa kuliko nevegiveup[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mungu wa pekee nnae mwamini mm, ni mwema sana.
Hakika,
Hakuna mtu kurud kijijini mwaka huu.
KTK HII VITA, KUKATA TAMAA.
NI KOSA LA "UHAINI"
ADHABU YAKE HALISI NADHANI UNAIJUA MPWA.
"Being assassinaated"
Kisha,
wazee majasiri wa kazi wanaendelea na Mapambano.
NO RETREAT, NO SURRENDER
Hongera sn mkuu.BET WON !
Ilikuwa busara kuchukua tahadhari ... maana ningeweka over 160.5 tu kuna mjinga mmoja amefikisha 159 ... angenibalansia tena na leo !
Well said,Pamojasana mpwaaaa tunaemwamini n mkubwa kuliko nevegiveup
Hongera sn mkuu.
Huwa
naumia sn nkiona mkeka wako ukichanika kwa upungufu wa kikapu kimoja.
Mimi naendelea na virtual japo inanipiga.
Unakuta unatandaza odds 100 timu 1 yenye odds 1.18 Tena Brazil vs Japan anashindw Tia goli
Umetisha mkuu ila Mimi niliongezea game ya China sijui watatoa over kwel naona wanafungana vikapu vichache mpak sasaBET WON !
Ilikuwa busara kuchukua tahadhari ... maana ningeweka over 160.5 tu kuna mjinga mmoja amefikisha 159 ... angenibalansia tena na leo !
Pole sn mkuu.nilitaka kufuata hivi,sema nikavutiwa na odds kubwa ,nimeweka ;
Halftime Fulltime
X/1
bet won wakuu
Umetisha mkuu ila Mimi niliongezea game ya China sijui watatoa over kwel naona wanafungana vikapu vichache mpak sasa
Hizi games za hockey huwa nazitaman sana huwa wana odds mzur sema siujui huu mchezo vyemabet won wakuu
BET WON !
Ilikuwa busara kuchukua tahadhari ... maana ningeweka over 160.5 tu kuna mjinga mmoja amefikisha 159 ... angenibalansia tena na leo !
Mbona iyo game ambayo haionyeshi matokeo imeshachezwa jana usiku. Nadhani ni wao awajajua matokeo yake ndio maana awataki uturbo na kama iliairishwa iyo timu itaondolewa na utalipwa kwa timu zilizobakia