Hapo umeingia kwenye bahati nasibu asilimia 100 ambayo matokeo yapo fixed kwa maslihi ya mwenye kampuni. Katika mizunguko yooote mwenye kampuni mwishowe anaibuka ndio mwenye faida. Labda kama una application ya kuweza kuelewa mizunguko halisi ya hizo game kama baadhi ya wazungu walivyoweza kujitenenezea .Tofauti na hapo ni "bahatisha ndulute" ambapo you win one you loose twoMimi naendelea na virtual japo inanipiga.
Unakuta unatandaza odds 100 timu 1 yenye odds 1.18 Tena Brazil vs Japan anashindw Tia goli
MKEKA No. 1
Odd: 3.68
Stake: 55,000 Tsh
Marejesho: 202,400 Tsh
Probability: 90%
Mapambano yanaendelea
View attachment 667256
Kilalakheri
- *6B8V9HJ*
Tottenham - West Ham
12 1.11
Numancia - Real Madrid
X2 1.02
Leicester City - Tottenham Hotspur
12 1.17
Celta Vigo - Barcelona
12 1.19
Cadiz - Sevilla
X2 1.16
Juventus - Torino
1X 1.06
Arsenal - Chelsea
Over(1.5) 1.21
Lleida Esportiu - Atl. Madrid
12 1.10
*Odd 2.58*
*6B8TQHJ*
Cadiz - Sevilla
12 1.24
CD Feirense - FC Porto
12 1.10
Arsenal - Chelsea
12 1.30
Lleida Esportiu - Atl. Madrid
12 1.10
Juventus - Torino
12 1.17
Rio Ave FC - FC Pacos Ferreira
12 1.26
*Odd 2.83*
*6B8S37T*
Talaea El Gaish - El Zamalek
2 1.45
Las Palmas UD - Valencia
X2 1.33
Cadiz - Sevilla
Yes - Home Score 1.47
Juventus - Torino
1 1.40
*TOTAL ODD: 3.97*
We jamaa umemifundisha mbinu kali sana za kumla mhindi....mechi mbili tu...odds ndogo unatupia mpunga wa maana...maisha yamekuwa rahisi sana aisee...mungu akubariki haleluya
nafikiri utaratibu ni kama wa vodaCc Mr Q tunaomba utaratibu kudeposit Airtel kwa 1Xbet
Na wakuu wengine mnaojuaaa jamani
Nilipanga kwenda na nayo but mambo yakawa mengi nikasahau.BET WON !
Ilikuwa busara kuchukua tahadhari ... maana ningeweka over 160.5 tu kuna mjinga mmoja amefikisha 159 ... angenibalansia tena na leo !
Jibu liko ndanj ya maelezo yako.Jamani mi Naomba kuuliza kwa wale wenye experience ya michezo hii ya kubahatisha mi nimgeni kwenye ubahatishaji ,nimejaribu kama Mara mbili hivi kubet online kwenye mkeka bet kwa dau la kawaida kama mwanafunzi anaejifunza kwanza .Naomba kuuliza ili utusue kama umebeti mechi mbili au tano kwa 1000 inakupasa ushinde zote au .
Naomba kuwasilisha
inakupasa ushinde zote bosi, hata uweke mechi 10, moja ikienda vibaya tu umeliwaJamani mi Naomba kuuliza kwa wale wenye experience ya michezo hii ya kubahatisha mi nimgeni kwenye ubahatishaji ,nimejaribu kama Mara mbili hivi kubet online kwenye mkeka bet kwa dau la kawaida kama mwanafunzi anaejifunza kwanza .Naomba kuuliza ili utusue kama umebeti mechi mbili au tano kwa 1000 inakupasa ushinde zote au .
Naomba kuwasilisha
Maelezo yamejitosheleza pamoja na majibu yakeJamani mi Naomba kuuliza kwa wale wenye experience ya michezo hii ya kubahatisha mi nimgeni kwenye ubahatishaji ,nimejaribu kama Mara mbili hivi kubet online kwenye mkeka bet kwa dau la kawaida kama mwanafunzi anaejifunza kwanza .Naomba kuuliza ili utusue kama umebeti mechi mbili au tano kwa 1000 inakupasa ushinde zote au .
Naomba kuwasilisha
Karibu sanaJamani mi Naomba kuuliza kwa wale wenye experience ya michezo hii ya kubahatisha mi nimgeni kwenye ubahatishaji ,nimejaribu kama Mara mbili hivi kubet online kwenye mkeka bet kwa dau la kawaida kama mwanafunzi anaejifunza kwanza .Naomba kuuliza ili utusue kama umebeti mechi mbili au tano kwa 1000 inakupasa ushinde zote au .
Naomba kuwasilisha