Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi ya Singida utd imehairishwa kwa sababu ya mvua kali huko zbar hadi kesho asubuhi saa nne mpaka inakuwapostponed ilikuwa 3-1
 
Hello!!

Natumain M wazima ....


Naombeni mnisaidie jinsi ya Ku deposit hela 1xbet .....


Kupitia mtandao wa Tigo


Maana nimeingia vizuri


Mpaka kwenye kuweka namba ya kumbukumbu ndo imeshindikana nawekaje hapo


008 ?? Naongezea kitu gani


Msaada pleaze nataka nicheze live
 
Daaa wazee wenzangu samahan jamani naomba msaada juu ya namba ya kampuni kwenye 1xbet maana nimefuatilia wenyew wameandika no ya kampuni ni datavising lakini nikiandika hivyo naambiwa nimekosea atak nideposit nitest zari la new company
 
0081Bet
 
Mkuu naomba unipe elimu kidgo no ya kampuni hapo ndo pananipa shida aiseee
 
Bado inakataa Mkuu
Nenda kwenye app hiyo ya 1xbet alafu bonyeza menu utaona top up a/c tafta tigo tanzania bonyeza pale wa display namba yako ya tigo pia watakwa mbia weka kiasi ukimalza kuweka moja moja watakumia txt ya beyonic kama hii
"Account depositPiga *150*01# Chagua namba 4: Malipo Chagua namba 3: Ingiza namba ya kampuni Ingiza namba: 400700 Ingiza namba ya kumbukumbu: 0081bet Ingiza kiasi cha malipo: 1500.0000 Ingiza namba ya siri" bhasi fata hayo maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…