Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hahahaha mkuu sicheki kwa sababu ulizozisema ila kwa lugha uliyotumia. Pole sana mkuu hapo ndo unatakiwa kuongeza maombi
 
Nimefanikiwa mkuu asante sana
 
Kwenye mkeka wangu kukuta team zinatoka Misri, Greece, Cyprus, Morocco, France league 2 ni ngumu hizi league nilishazipiga BAN...leo sijui nimekubwa na nini nimeliweka lizamalek limeharibu kila kitu..[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Ov2,5 [HASHTAG]#woooooooon[/HASHTAG]
INPLAY
Lleida vs Atletico Madrid
Score: 0 - 3
Min: 71
Substitution!!
Substitution!!
Lleida Esportiu. Jordi Martínez⬆️Iván Agudo.⬇️
 
hata mimi single nishacheza sana but kwa odds ndogo kama hizi za 1.30 ukipigwa mana yake umepoteza laki. na si kuwa single kwamba uko sef 100%

single nzuri ila angalau upate odds 1.8+
Inategemea na approach unayotumia...laki ni ndogo kuliwa anayecheza multiple hii laki ndani ya siku mbili analiwa tena anaweza kaa hata week tatu hajala. All in all believe in your approach
 
Arsenal naona anazidi kuongezewa odd naona kabisa hii mechi Chelsea anashinda kiulaini afu Chelsea Leo atacheza counter attack nyingi maana mfumo wa Leo nyokoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…