Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
Mkuu mie nimetuma Head-2-Head pamoja na league yao kwa ujumla.
Sina utalaamu sana wa Basketball kuwashida akina Billy Willy, Buddy, et al.
Kwa mfano jana usiku baada ya kupokea kipigo kwenye Football. Nilichambua mwenyewe NBA nikapata odds 7 nakutia mzigo. Nimeamka asubuhi si haba. Leo napo nimechambua mbili moja ya Indonesia na nyingine ya Australia. Ya Indonesia imetick, nasubiri ya Australia hapa..!
Amini katika mawazo yako kwenye kuchambua games. It pays a lot.
mkuu hizo odds tamu ila celta vigo watataka sifaCelta Vigo v Barcelona
under 2.5 goals
odds 2.07
wakuu basket tamu
View attachment 668237
mess,suarez wamepumzikaWazee leo barcelona vp anaeza shinda ?? Kwanini kapewa odd ya 1.90
Unachambua kupitia Website zipi, naomba link
Hapo vp wakuu nisaidien Hapo Foolad win
View attachment 668242
Mkuu Basketball tamu sana..!
Nimenza jana usiku nikaweka mzigo wa 4,200/= kwa odds 7. Nikaamka na 29k.
Leo nimeweka ile game ya Indonesia uliyotupia hapa nikaweka 10k kwa odds 1.8. Nimeondoka na 18k.
Nikaweka tena 4,200/= game ya Australia kwa Over 180.5 plus Under 140.5 kwa game ya Indonesia. Nimeondoka na 25k
Return = 73k
Capital = 18k
Profit = 55k
Napata ushawishi mkubwa wa kuhamia Basketball. Ahsanteni Buddy, Koncho77, Billy Willy kwa tips zenu na ushawishi mkubwa wa watu kujaribu Basketball. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hongera sn Chief ...endelea hvyo hvyo mdogo mdogo, timu 2-3 ... zikizidi uwezekano wa kumbeba mchawi unaongezeka.
Long may it last !
Buddy Mkuu weka vitu vya wachina,ndio lunch time hii
MessiWazee leo barcelona vp anaeza shinda ?? Kwanini kapewa odd ya 1.90