Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Wooow Wametoa japo dakika za mwishoni Nimetoa hapo nimebaki na timu 7Ngoja tuombe aiseee
Unanitamanisha nianze kuwafuatilia wachina maana mimi nawaelewa NBA peke yao
Unanitamanisha nianze kuwafuatilia wachina maana mimi nawaelewa NBA peke yao
Naomba nielekeze TafadharMPE gg n ov 1*5
Uwe naamani win drw no waachie khanji
Aksante mkuu , nilimfuata huyo wa kwanza, naona ameshanipa hela
Nilitaka tu Over 1.5 wametoaHii match bila shaka walipanga kudraw maana mpaka 93' ilikuwa 1-0 [emoji33]
Foolan usimuamini kwa Direct Win.! Bora ucheze Over/Under league yao haitabiriki
hiyo ngumu kumeza mkuu
Mgongano wa kimaslai umetokeaMm wamenichania aseee niliwapa direct win [emoji22]
Sikuiona hii MkuuKama ulifata ushauri wangu utakuwa unachekelea sasa hivi ukisubiria hao wengine!
Kila la kheri.
Sikuiona hii Mkuu
Kujumuisha na wachezaji wa FCB ambao hawatakuwepoHyo game itakua ngumu kea barca, ukzngatia kua huwa wanna bahat mbaya sn na ule uwanja wa celta.
Naona wachina nao wako poa.!
Itanibidi haswaaa kwenye option yangu ya win q1Mkuu wafuatilie hawa jamaa wana raha sn !
Hyo game itakua ngumu kea barca, ukzngatia kua huwa wanna bahat mbaya sn na ule uwanja wa celta.