Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Watu wanaobet ni wengi wengine wanafanya siri....halafu haohao ndio utakuta kwenye uzi fulani wanatuponda ila baada ya muda utamuona humu nae ni member tena aliyetukuka...

Haha ...
 
Wakuu mpo?

Aisee samahan wadau.

Leo sjasuka mkeka wowote.

Nmekua bize sn na mambo ya kifamilia.

Now, ndo natoka hospital.
Mwanangu mchanga, aliamka asbuh akisumbuliwa homa Kali.
Pole kamanda atapona punde
 
Haa haa sana aiseeee
 
Wale tuliowapa Barca straight win tuanze kulia kwa sautiπŸ˜‰πŸ˜‘πŸ˜•πŸ˜±πŸ˜³πŸ™„πŸ˜΅
 
Wakuu mpo?

Aisee samahan wadau.

Leo sjasuka mkeka wowote.

Nmekua bize sn na mambo ya kifamilia.

Now, ndo natoka hospital.
Mwanangu mchanga, aliamka asbuh akisumbuliwa homa Kali.
Pole sana mkuu
 
Wale tuliowapa Barca straight win tuanze kulia kwa sautiπŸ˜‰πŸ˜‘πŸ˜•πŸ˜±πŸ˜³πŸ™„πŸ˜΅
Tuko wengi mtu na wa 2.5 over
Na hao Villarreal 2+ naona
Niweke tu mikono kichwan sasa
 
Wakuu mpo?

Aisee samahan wadau.

Leo sjasuka mkeka wowote.

Nmekua bize sn na mambo ya kifamilia.

Now, ndo natoka hospital.
Mwanangu mchanga, aliamka asbuh akisumbuliwa homa Kali.
Pole sana Mzee, Mungu atampa Afya njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…