hii kweli mkuu saiz naona vipigo vimepungua
ahahahahah mnaona kinachoendelea uwanjani
ahahahahah mnaona kinachoendelea uwanjani
Mimi nimeweka Over 211.5
asante mkuu ,yani gambling usipokua na tamaa inakupa hela ya kula na bills zako zoote kabisa mkuuMkuu kuna watu humu wametuongoza tusiongozwe na tamaa kwenye hii biashara.
Respect kwa watu kama wewe, Buddy, koncho77, DeepPond, Mr wise, Billy Walters, Pdidy na wengineo.... Hakika wabarikiwe wote na tuzidi kujaaliwa na Mwenyezi Mungu tuendelee na malaika wa ushindi
Adui wa betting ni tamaa zetu tu. Tukiacha tamaa tunatusuaasante mkuu ,yani gambling usipokua na tamaa inakupa hela ya kula na bills zako zoote kabisa mkuu
TIP: In play 4th quarter Over 50.5 ina Odds 1.83!
yaaaaap mkuuAdui wa betting ni tamaa zetu tu. Tukiacha tamaa tunatusua
Mimi nimefuata over 52.5Kama uliifuata IN PLAY
BET WON [emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]
TIP: In play 4th quarter Over 50.5 ina Odds 1.83!
Mimi nimefuata over 52.5
Ngoja nisubiri
Hongera sana mkuu, mimi niliikuta imeshaondolewa.... Nikaamua kuwapa Clippers Over 117.5 ndiyo nazisikilizia hapa
Kwa hisani ya Westbrook mpe Thunder
TIP taken!
ILIKUWEPONimempa direct oklahoma
Ngoja nikachukue kilo moja ya maini hapa bucha.Agiza SOUP
Imetoa [emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]