Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Juve
Sevilla
Braga
Wins....odds 3+ hizi hapa kama una roho ngumu,upande wangu moyo bado haujafunguka kuplace bet
 
Juve
Sevilla
Braga
Wins....odds 3+ hizi hapa kama una roho ngumu,upande wangu moyo bado haujafunguka kuplace bet
Hiyo game ya Braga ni big match

Kuna hati hati ya sare.

Maana Braga hana utaratb wa kushnda first half.

Afu mwnzie Rio ave nae akiwa away Mara nyng first half kumfunga ni mbinde.

Pia Rio ave ana defense ngumu sn , na hata akifungwa huwa ni kigoli kimoja.

Pia nae Rio ave akishakufunga,ndo basis tena hicho hicho kigoli kilala mpk DKK 90.

Hyo game inafaa sn,under 1.5 first half.

Au draw first half. Ina odd nzur sn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…