Nipo macho mpk kieleweke.Nimehangaika na basketball usiku kucha wa jana na Alfajiri yote hela zikajaa, jioni football ikaondoka na hela zangu. Bahati mbaya nilikuwa najua game ya LAC na GSW ina hela lkn akili ilikuwa imechoka mno na kichwa kinausingizi balaa nikatupia tu mikeka ya moja kwa moja na sasa hivi ndio nalala.
Ila wiki hii nzima napumzika football kwanza. Ngoja nideal na tips za basketball
Hongera mkuu...naona kwa mbine sanaNipo macho mpk kieleweke.
Nmetia stake ndefu sn kwa Boston Celtic ,Direct win 1.65 odds
Dah, hatimae aisee...Hongera mkuu...naona kwa mbine sana
daah nimeamka tuu usingizini nimekuta game zimeshaanza, nimejikuta nimevamia tuu game na kuweka minesota ashinde kwenye stake nikajua nimeweka elf 10 kumbe nimetia 100k bila kupenda daah usingizi umenifanya nifanye kitu ya hovyo kabisaaa!!
yaap mkuu sio mbayaHapo mkuu ni kuomba mungu ashinde tu ila naona anaongoza kwa vikapu kibao
mkuu hii option ya Which team wins race to 10,20,30,50 au 60 points ni bonge la option yani mpunga fastaainplay
Minnesota Timberwolves v New
Orleans Pelicans
3rd Period - Which team
wins race to 10.0 points -
2
1.63
Dadekiinplay
Minnesota Timberwolves v New
Orleans Pelicans
3rd Period - Which team
wins race to 10.0 points -
2
1.63
ukiipatia mara nyingi hua inatoa ,yani toka nimeanza kuicheza mara nyingi ni kuwin tuu kulose ni mara chacheinplay
Minnesota Timberwolves v New
Orleans Pelicans
3rd Period - Which team
wins race to 10.0 points -
2
1.63
hahahaha naona minesota kafika 10 points majamaa yameganda na 4 pointsDadeki
Sana mkuu, kula ama kuliwa ni fasta tu.mkuu hii option ya Which team wins race to 10,20,30,50 au 60 points ni bonge la option yani mpunga fastaa
inaweza kutoa kabisa mkuuHivi wazee mechi ya sacramento inaweza kutoa over ya 201??
ukikaa vizuri inarudi sio mda mrefu mkuuSana mkuu, kula ama kuliwa ni fasta tu.
Mfano mimi hapo juu nishapigwa 30k fasta fasta quarter 4 naenda nao tena
Ngoja tuone mkuu inanipa pressure balaaainaweza kutoa kabisa mkuu
Kweli mkuu kulose ni mara chache sana.ukiipatia mara nyingi hua inatoa ,yani toka nimeanza kuicheza mara nyingi ni kuwin tuu kulose ni mara chache
inaenda vizuri hadi sasa mkuu, itatoaNgoja tuone mkuu inanipa pressure balaaa