1.Dongbu Promy Win
2. Anyang Kgc
3. Seoul Sk Knights
4. Melbourne City FC over2.5
5. Canberra United BTTS
ODDS 5.2
Happy Sunday !
Hii LiveScore Inaitwaje Kiongozhiyo ilikuwa na odd 7 kipindo xha kwanza nfo ina hizo goal
Hii naona mtandao umezingua,niliuutuma mapema nashangaa ndiyo inafika hukuHii mbona karibu zote zimeshaanza na zimeshatoa kasoro moja ya basketball
Basket inanipa matumaini sana. Ukiona una karibia kuliwa una stake tena kweny hiyo hiyo game. Unarudisha pesa yako faster .coz huku ni over/underTwo consecutive days Losses kwenye football, dah!
Basketball ndiyo inanifanya nirudishe hasara kidogo inayopotea.
Nilichojifunza kwenye Basketball.
1. Wachina wanafungana sana lkn wiki hii wengi wameshindwa kutoa over 210.5 tulizozoea
2. South Korea cut points zao ni 160, hapa ni vyema kuangalia kwanza Q1 na Q2 kupima hali ya mchezo ukiona wanasuasua basi ni safe kutoka na under 167.5 kama wanafungana basi ni safe kutoka na over 153.5 au 154.5au 155.5 au 156.5 au 157.5 au 158.5 au 159.5 ila usivuke over 160.5.
3. Indonesia ni vyema kucheza under mara nyingi na ni vyema kuchagua point ya juu kabisa kwenye betting options.
4. NBA: Hapa uhakika huwa ni kwa Golden state warriors, hawa mara nyingi ni wazee wa kutoa over 120.5 points na total points ya over 220.5. Muhimu hapa ni kuangalia kikosi chama kama key players wote wapo. Mfano jana Curry katolewa Q4 na points zikashuka mpaka 20's wakati alipokuwa uwanjani kuna Quarter walifikisha point 40's.
Mwingine ni Philadelphia huyu ni kwa hisani ya koncho77, huyu mpe ushindi Q1 hakika hajawahi kuniangusha.... Nimeshampa na matokeo yalikuwa chanya 100% kwa wiki hii moja ninayobet.
5. Remember to do Single betting and Stake high baada ya uchambuzi, ukila mara mbili au tatu you call it a day.
NB: usisahau muda wa quarter ya NBA na CBA ni Dk 12/quarter na
South Korea na Indonesia ni Dk 10 /quarter.
Aksanteni sana.
Mfano mzuri ni kwa Nuggets nimecheza q3 zote baada ya kwanza kulose nikacheza q3 na q4 nikapata kafaida kiduchu asingekuwa NOPS ningeamka vizuri sanaBasket inanipa matumaini sana. Ukiona una karibia kuliwa una stake tena kweny hiyo hiyo game. Unarudisha pesa yako faster .coz huku ni over/under
Wamekufanyaje mkuuWakuu kwa yeyote anayetumia premier bet , naomba kuelekezwa namna ya kujiunga na kampuni hii, Walichonifanyia pmbet sina hamu tena hata kuwasikia.
Nimewidrwa fedha toka tarehe 3. haijaingia mpaka mda huu, nawatumia text online na wapo kimya alafu text zingine wanajibu cjajua kunatatizo gani. bora niwe na account kampuni nyingine mkuu.Wamekufanyaje mkuu
Kwenye account yako ya Playmaster hiyo pesa uliyotoa imekatwa....??Nimewidrwa fedha toka tarehe 3. haijaingia mpaka mda huu, nawatumia text online na wapo kimya alafu text zingine wanajibu cjajua kunatatizo gani. bora niwe na account kampuni nyingine mkuu.