Curry na Durant kuna uwezekano wasichezeStephen Curry (knee) probable for Monday
Stephen Curry (left knee soreness) is listed as probable for Monday's game.
Steph's knee sure didn't limit him on Saturday, when he dropped 45 points on the Clippers. This isn't related to the right ankle injury that cost him multiple weeks, so presumably he'll be fine, but we'll know more after Golden State's shootaround on Monday.
Source: Warriors PR on Twitter
Wakuu huyu jamaa game ya Alfajiri atakuwepo, mmepata any news zaidi ya hii?
Hapo ndio unaona ubora wa singlebet au slots za team atleast mbili kila mkeka....Yani Ungekua umemliza hapo pamoja na wachawi wawili kuwepo
Mrejesho bet lost wachawi wawili tuu...
Kama ulichukua odds ndogo nahis unaenjoy uko
Curry na Durant kuna uwezekano wasicheze
japo sio lazima lakini kabla ya kuweka stake angalia kwanza kikosi kama hao wanyama wawili wapo.
Dah! Je na sisi tulio weke 1.5 over?
Lens uyu hatabiriki ila tusubirie tuone, ktk ligi 2 yupo nafasi ya 15 ila kwa 5 zilizopita hajafungwa sasa leo sabab umembetia unaweza shangaa anafungwa ilo ilo moja mpaka game inaisha. Tusubirie tuone maana mpaka sasa anaongoza kwa possession,kona na shots ingawa shots on goal kazidiwaDah! Je na sisi tulio weke 1.5 over?
Kafanikiwa bhanaLens uyu hatabiriki ila tusubirie tuone, ktk ligi 2 yupo nafasi ya 15 ila kwa 5 zilizopita hajafungwa sasa leo sabab umembetia unaweza shangaa anafungwa ilo ilo moja mpaka game inaisha. Tusubirie tuone maana mpaka sasa anaongoza kwa possession,kona na shots ingawa shots on goal kazidiwa
HAWA jamaa Leo wote waliingia na mifumo ya kupga cross kwa kutumia side wings.Hawa jamaa wanapiga kona mpaka raha asee inplay ov 13.5 ilikua 2.5+ odds
Usihofu,
Brighton akiwa home anapenda sn kucheza ball possession.
Palace nae akiwa away anacheza possession kwa tahadhar zaidi.
Kwahyo, hyo mechi
Haiwez zidi corner 12.
Slot yake ina atleast team mbili. Bila shaka ulimaanisha ATMOST TEAM MBILIHapo ndio unaona ubora wa singlebet au slots za team atleast mbili kila mkeka....Yani Ungekua umemliza hapo pamoja na wachawi wawili kuwepo
HAWA jamaa Leo wote waliingia na mifumo ya kupga cross kwa kutumia side wings.