Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MKEKA No.2

Odds; 2.58

Stake: 39k.
Marejesho: 100k

Mapambano yanaendelea

Note:
1. Uyo in football Spain
2.uyo ni volleyball Russia KHL
3.uyo ni hockey UEFA
 
Basketball tips, leo mapema kwa upande wangu nimeamua kuanza na hizi wakati naendelea na uchambuzi wa game za NBA.

Sweden:

Uppsala vs Norrkopping

Total Points 157.5 over 1.58

Brazil:

Flamengo vs Mogi

Total Points 148.5 over 1.48

Argentina:

San lorenzo vs Hispanio Americano

Away Total Points 78.5 over 1.58

Estudiantes vs Quilmes

Total Points 162.5 over 1.48

San Martin vs La Union

Total Points 158.5 over 1.58

Gimnasia vs Fero

Total Points 155.5 over 1.58

Estudiantes DE Bahia vs Argentino

Total Points 157.5 over 1.43.
Odds 20 Jumla
 

Tuko pamoja mpampanaji mwenzangu. Ngoja nichambue na mie.
 
Kiukweli humu ndani sidhani kuna mtu atampita Mr. Wise kwa kumgaragaza madevu,mbinu zake ni hatari tupu,leo tena baada ya jana nipo hapa napitapita nikichungulia kazi yake
 

Mkuu! Princess sizioni
 
Mkuu! Princess sizioni

Ahsante mkuu! Nimezipata na nimeshusha kidogo idadi ya vikapu baadhi ya mechi. Nimechukua mechi 6 nikapa odds 11+. Zinanitosha kabisa.

Hii mechi yenye over 162.5 points nimeiacha kabisa. Nimeogopa mkuu, kwa sababu inaweza kuwa ndefu kwao kufikia hizo points.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…