Hujanielewa mf.ukitaka kubet premier kwa kesho mechi zikiwa kwenye siku yenyewe hupati ile link pale juu ambapo utaselect tu draw no bet inakuletea GG na NG then unakuwa unaclick tu hapa network haihusiki,ukienda kwenye nchi Football then ukaselect Nchi England halafu ukaselect premier hizi option zinatokea kwa juu...mie nauliza kuna jinsi yakuzipata hizi option kwenye football today ambapo itanirahisishia kubet pHizo option zipo na zinafunguka haraka tu unless wewe ndio una tatizo na network yako..
Hujanielewa mf.ukitaka kubet premier kwa kesho mechi zikiwa kwenye siku yenyewe hupati ile link pale juu ambapo utaselect tu draw no bet inakuletea GG na NG then unakuwa unaclick tu hapa network haihusiki,ukienda kwenye nchi Football then ukaselect Nchi England halafu ukaselect premier hizi option zinatokea kwa juu...mie nauliza kuna jinsi yakuzipata hizi option kwenye football today ambapo itanirahisishia kubet p
ia kusave muda.
wadau inachukua siku ngapi kupata hela yako ukisha itoa kwenya account yako ya meridiana,maana nime withdraw toka jana hadi sasa sijapata
yaah naongelea meridian kama unatumia PC via old version.Nilifikiri unaongelea Meridian
yaah naongelea meridian kama unatumia PC via old version.
Hahaha...wakati ulipanga asubuhi upige supu.
Sijawahi shinda Meridian najua tu M Bet ndo uwanja wangu wa nyumbani, M Bet wala hujisumbui, wao wenyewe wakirefresh seva yao ile asubuhi baada ya mda kidogo unapata sms ya tigo pesa.
Ziogope kama ukoma game za online... hasa kwa timu ambazo huzifahamu
Steph curry upo sawa kbisa.....hizo zilinipotezea kma kilo hivi...yaani hela yakobinapigwa fasta sjui eti unatym mechi unajua itaisha hivo...ia ukila na kula fasta....ila kuliwa ni hrka zaidi
Du hizi mechi za mtoano noma kweli kila siku nakula za uso .ngoja nisubili za ligi za kawaida tuKingz
Me mech hiz huwa znanchosha mana znabadilka dk90 ndio anafungwa mtu wkt we unajua hapa nmesha pga pesa.
Wadau tupieni mikeka ya Leo nahitaji mkeka wa kutembelea
Du hizi mechi za mtoano noma kweli kila siku nakula za uso .ngoja nisubili za ligi za kawaida tu
Kwa meridian online ingia www.meridian.co.tz then jaza fom yao halafu watakutumia link katika e-mail yako ili kuactivate account yako, ukishafungua hiyo link ndo tayari ushajiunga.
Ukitaka kudeposit au kuwithidraw mzigo kwa meridian njia ya m-pesa chek page namba 205 ktk thread hii.
Villarel kaniua vibayaMbona mech hzi ndio wadau weng humu hutusua angalia leo jnc watu walvyo pga pesa kutokana na mech za jana.mikeka iliowekwa 80% imetiki lkn kwenye ligi humu huwa na msiba mana kla mdau hulia.
Premier league na sio premier betting nadhani hii option hujawahi itumia ndomana hatuelewani.Mkuu mbona hueleweki?? mara meridian mara premier