Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hizo option zipo na zinafunguka haraka tu unless wewe ndio una tatizo na network yako..
Hujanielewa mf.ukitaka kubet premier kwa kesho mechi zikiwa kwenye siku yenyewe hupati ile link pale juu ambapo utaselect tu draw no bet inakuletea GG na NG then unakuwa unaclick tu hapa network haihusiki,ukienda kwenye nchi Football then ukaselect Nchi England halafu ukaselect premier hizi option zinatokea kwa juu...mie nauliza kuna jinsi yakuzipata hizi option kwenye football today ambapo itanirahisishia kubet p
ia kusave muda.
 
Nilifikiri unaongelea Meridian
 
Hahaha...wakati ulipanga asubuhi upige supu.

Sijawahi shinda Meridian najua tu M Bet ndo uwanja wangu wa nyumbani, M Bet wala hujisumbui, wao wenyewe wakirefresh seva yao ile asubuhi baada ya mda kidogo unapata sms ya tigo pesa.

Hiv hii M bet ikoje mkuu??
 
Steph curry upo sawa kbisa.....hizo zilinipotezea kma kilo hivi...yaani hela yakobinapigwa fasta sjui eti unatym mechi unajua itaisha hivo...ia ukila na kula fasta....ila kuliwa ni hrka zaidi

Kingz
Me mech hiz huwa znanchosha mana znabadilka dk90 ndio anafungwa mtu wkt we unajua hapa nmesha pga pesa.
 
ImageUploadedByJamiiForums1426251169.315504.jpgImageUploadedByJamiiForums1426251198.445924.jpgImageUploadedByJamiiForums1426251223.336004.jpgImageUploadedByJamiiForums1426251254.081373.jpgImageUploadedByJamiiForums1426251276.979468.jpgImageUploadedByJamiiForums1426251312.156035.jpg
Chambua ztakazo kufaa chukua tupia mzgo
 
Du hizi mechi za mtoano noma kweli kila siku nakula za uso .ngoja nisubili za ligi za kawaida tu

Mbona mech hzi ndio wadau weng humu hutusua angalia leo jnc watu walvyo pga pesa kutokana na mech za jana.mikeka iliowekwa 80% imetiki lkn kwenye ligi humu huwa na msiba mana kla mdau hulia.
 
Kwa meridian online ingia www.meridian.co.tz then jaza fom yao halafu watakutumia link katika e-mail yako ili kuactivate account yako, ukishafungua hiyo link ndo tayari ushajiunga.

Ukitaka kudeposit au kuwithidraw mzigo kwa meridian njia ya m-pesa chek page namba 205 ktk thread hii.[/QUOTE]

Hiyo link ya meridian hapo juu haifunguki why? tupe alternative ya access km unayo
 
Kwa meridian online ingia www.meridian.co.tz then jaza fom yao halafu watakutumia link katika e-mail yako ili kuactivate account yako, ukishafungua hiyo link ndo tayari ushajiunga.

Ukitaka kudeposit au kuwithidraw mzigo kwa meridian njia ya m-pesa chek page namba 205 ktk thread hii.

Hiyo link ya meridian hapo juu haifunguki why? tupe alternative ya access km unayo[/QUOTE]
www.meridianbet.co.tz
 
Bayer vs Stuttgart Goal in both halves
Vittesse vs AZ Alkamaar GG
Valencia vs Deportivo Goal in both halves
Nice vs Guingamp GG

Odds 9.45
 
hivi hii meridian bet ni inamilikiwa na mzungu ama mchina? maana ingekuwa ni mzungu kama watu wanavyodai website isingekuwa inasumbua namna hii , hata kubet imeshindikana unaweka timu mbili inakata ,mara server error? hii ni kitu gani?
 
Back
Top Bottom