Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu,
Kwema uko?
 
Mbona imepatikana mkuu [HASHTAG]#inplay[/HASHTAG] imenipa hela nzuri sana kwa asubuhi kupata 46k sio mbaya
Aaah kama ulikua in play hapo n sawa mkuu Ila direct total pint ndo kumezngua
 
Iko volleyball
Mkuu uwe unawaisha makombora bac maana yakiwa maana team kama za volleyball au basket ball huwa nivigum kuzitafuta zikiwa tayar zimeanza mchezo princess bet, baadhi ndio huwa wanazionesha na hata kama ukaztafta unakuta hazionekani.
 
Mwanzon walikuwa wananila sana sijui kwasababu nilokuwa nashindwa kuya set makombora ya akina Deep pond na mr.wise saiv nachekelea tu.
 
Wakuu,
Kuna hii game nyngn ya VOLLEY BALL .

"Dinamo Moscow vs Belgorod"

Hii game Belgorod ana nafas kubwa ya kushinda.

Kwann nasema hivo?

Hii ni kwasababu Belgorod ndie anaeongoza msimamo wa ligi kuu ya VOLLEYBALL nchini Russia.

Pia, tokea ligi imeanza.
Belgorod kapoteza mechi 1 tu.

Na mechi yenyewe ilkua ni ugenini dhidi ya timu imara kabisa ya Zenith Kazan
(nafas ya 2 kwny msimamo).

Leo yupo tena ugenini,Ila yuko na timu dhaifu ya Dinamo Moscow ambaye katoka kushnda mechi 2 kati ya 4 zlzopita.

Na ndan ya hzo mechi 2 alzoshnda, kazshnda timu dhaifu pia (nafas ya 7 & nafas ya 13)

Leo yuko nyumbani, anakutana na kiongoz wa ligi.

Kiukweli simuoni kabisa Dinamo akishnda hii mechi,ukzngatia form mbovu aliyonayo hv sasa anapokutana na timu kubwa.

Ushaur,
Mpe Belgorod direct win , Odd 1.68
 
Kuna game ya Australia Wellington vs Melbourne victory hawa Melbourne walipew kadi nyekund mapema tu wakiwa wanaongoza 1 -0 kule in play princess waliwapa wellington odds 4+ na Melbourne walipewa 1.9 nikawadharau nikawapa over 2.5 japo imetoa ila nimesikitika kwanini sikuwapa wellington win asee ningekuwa nakula sup now
 
KWA WAZEE WENZANGU WA BASKET BALL

Kuna hii game ya kule korea
"THUNDERS vs Sonic boom"

Hii game naiona inaweza kutoa over 40.5 points ktk 3rd quarter.

Kwann nasema hivo?
Hii ni kwasababu Thunders wakiwa home,hupendelea sn kucheza offensive game.

Hushambulia kwa kasi sana,Ila huwa wanaruhusu pia kufungwa vikapu vingi uwanja kwao.

Katika mechi 3 mfuruluzo zilizopita alzocheza Thunders akiwa home

Tumeshuhudia over 40.5 points kwny 3rd quarter ya mechi hzo zote 3.

Pia,
Ukimwangalia Sonic Boom.

Utagundua kua nae anamatatzo makubwa ya defense akiwa away.

Ktk mechi 7 alzocheza Sonic boom away, mechi 5 zimeshuhudia over 40.5 points ktk 3rd quarter.

Pia last away game alocheza sonic boom, imetoa 44 points ktk 3rd quarter.

HEAD TO HEAD
Mara ya mwisho walpokutana pia tumeshuhudia ktk 3rd quarter walitoa 43 points.

USHAURI:
Hii game ni vema kubet over 40.5 kwenye 3rd quarter.
 
Kuna game ya ligi ya Czech republic
Znojmo vs Brno
Znojmo wamempa 7.00 odds na Brno wamempa 1.39 nimeangalia huyu znojmo kashinda game mfululizo za home na Brno wameshinda game 1 tu away katika games 5 zilizopita huyu mhindi anatujaribu au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…