Wameweka over 2.5Wale wa In play bet,
Twenzetu Australia.
Corner bet over 9.5
Au mpe ushindi wa corner Adelaide.
Huyu jamaa anapiga kona nyng sn kwny ile ligi
Update....Wale wa In play bet,
Twenzetu Australia.
Corner bet over 9.5
Au mpe ushindi wa corner Adelaide.
Huyu jamaa anapiga kona nyng sn kwny ile ligi
Hebu ngoja namii niicheck mkuuKuna game ya ligi ya Czech republic
Znojmo vs Brno
Znojmo wamempa 7.00 odds na Brno wamempa 1.39 nimeangalia huyu znojmo kashinda game mfululizo za home na Brno wameshinda game 1 tu away katika games 5 zilizopita huyu mhindi anatujaribu au
Oya Deep pond hapa vpHebu ngoja namii niicheck mkuu
Update......Wakuu,
Kuna hii game ya UFC u23
"North Korea vs Thailand"
Kwny hii game ya Leo, N.Korea ana nafas kubwa ya kushnda hii mechi.
Ila ukiwaangalia Thailand,utaona kua wamefungwa goli 1 tu ktk mechi zote 7 ziluzopita.
Kwa maana hyo,Thailand anaonekana kua na defense nzuri.
Ila hilo halizuii yeye kufungwa,
Kwann nasema hvo,?
Hii ni kwa sababu, opponents wote alokutana nao ni dhaifu kiasi ukiwalinganisha na N.Korea
Kwahyo ,
hii game naiona inawz kuwa
"Not both team to score"
Hii ni kwasababu Thailand hawatapata nafas ya kushambulia, watastruggle sn kulinda goli lao mda mwng.
Hii inawza pelekea matokeo ya 1:0 au 2:0 au 3:0
Ushauri:
Hii game inafaa double chance kwa N.Korea
Au Not both team to score.
Adelaide corner ov 7.5 odd 1.67 nimemfuata kama alivyo naona kabisa corner 3 anatoa.Update....
Halftime
Corner 7 zimeshapigwa.
Wale WENZANGU wa over 9.5, zmebaki 3 tu.
Pia wale ushindi wa corner kwa Adelaide.
Mambo sio mabaya, anaongoza corner 5:2
Wameweka over 11.5 cornersWameweka over 2.5
Sjakuelewa mkuuWameweka over 2.5
Hongera mkuu nilikufuat nawasubir hawa wa Australia naona hat hawafunganUpdate......
Full time
North Korea 1:0 Thailand
HONGERENI SANA MLOFUATA HUO USHAURI HAPO JUU
View attachment 672433
Mkuu koncho naomba nieleweshe kidogo.. "which team win to (No.) race... Inakuwaje hii.BET WON
PESA IMEINGIA
ASUBUHI NJEMA
Nilitak kusema over 11.5 corners nadhan niiandika harakSjakuelewa mkuu
PossibleNilitak kusema over 11.5 corners nadhan niiandika harak
'Timu gani ifikishe point hizo zilizotajwa kabla ya timu pinzani'Mkuu koncho naomba nieleweshe kidogo.. "which team win to (No.) race... Inakuwaje hii.
Ok. Nimeelewa mkuu.'Timu gani ifikishe point hizo zilizotajwa kabla ya timu pinzani'
Humu watumiaji wa m-bet ni wachache sn mkuu.Guys.. Hamna tips za m-bet jackpot humu?
Anhaa sawasawa kiongozi... Kwel naona screenshots nyingi ni za princessbetHumu watumiaji wa m-bet ni wachache sn mkuu.
Na nna wasiwasi inawzekana hata hawapo kabisa hum ndani mkuu