Asante mkuuhongera
sana mkuu
Hongera sn mkuuBet won roho ilikuwa juujuu sana maana over 2.5 niliipata ndan ya dakika 80.
Asante mkuuHongera sn mkuu
duuh bigup
Huyu Apollon katika mechi zake 2 za mwisho mambo hayakuwa mazuri... Mkuu deeppond leo tumwamini kwa asilimia zote??MKEKA WA PESA
Odds: 2.67
Stake: 23k
Marejesho: 61k
Hakika mapambano yanaendelea
View attachment 672509
olimpiacos wanakata viuno tu.Duh,
Huku kwny club friendlies hakujaanza poa Leo.
Yaan club kubwa karbia zote zishagongwa goli 2 mpk sahv
Mkuu Hongera sana .... naona unajilipua si mchezo
MPE double chance mkuuHuyu Apollon katika mechi zake 2 za mwisho mambo hayakuwa mazuri... Mkuu deeppond leo tumwamini kwa asilimia zote??
Balaa tupu ndugu yangu.olimpiacos wanakata viuno tu.
Tuwape muda na imani kipindi cha pili watakuja na magoli ya ushindi mkuuolimpiacos wanakata viuno tu.
Tuko pamoja mkuuduuh bigup
Mapambano yanaendeleaMkuu Hongera sana .... naona unajilipua si mchezo
Big up mzee...
HONGERA sn mkuuBet won
Na ya endelee mkuu.... Mimi nimeingia vitani rasmi week hiiMapambano yanaendelea