Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu princess walitegesha game kimitego sana, kwanza game zingine waliweka Total kuanzia 226-236 , zingine hawakuweka kabisa option ya total points wakaishia kuweka kitimu.

Huwezi amini nimepoteza mikeka miwili CBA, miwili KBA.

Leo basketball imenila balaa.
Pole sn
 
Screenshot_20180110-181959.jpg

Michango yenu ni muhimu kabla sija confirm malipo nan chenga apa tumuondoe!!!
 
Back
Top Bottom