Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu kuna kitu nimeobserve, mara nyingi mikeka yako inachanwa na hii option ya Home/Away to win either half - Yes.

Mimi nashauri tuachane na hii option, hebu jaribu kupitia mikeka yako utagundua.
Swali kwako,
Unaelewa maana ya hyo option ?

Au unalalamika tu kwasababu mkeka wako umechanika kwny hyo mechi ilopewa hyo option.
 
Real Madrid - Numancia CD
Under 0.5 goals (Numancia)
1.78

Villarreal CF - CD Leganes
CD Leganes (Handicap 0-2)
1.30

SC Amiens - Paris St Germain
Yes (Over 1.5 both halves)
2.70

LTi Giessen 46ers - Phantoms Braunschweig
Over 161.5 points
1.46

Odds 9.12
Mkuu hii option ya psg inamanisha nn
 
Mkuu kuna kitu nimeobserve, mara nyingi mikeka yako inachanwa na hii option ya Home/Away to win either half - Yes.

Mimi nashauri tuachane na hii option, hebu jaribu kupitia mikeka yako utagundua.
Mkuu hyo option c inamanisha
Tim uliyoipa ishinde kipindi chochote
First half or 2nd half ama
Inamaana gan

Maana siielewag
 
0062d789cff4f4d461c48a8e887b1281.jpg
Hii n pesa kabsa
 
Wakuu Mkeka wangu umetick toka SAA nane mchana lkn mpaka sasa hawajanipa Pesa premiere ni kawaida au
 
Swali kwako,
Unaelewa maana ya hyo option ?

Au unalalamika tu kwasababu mkeka wako umechanika kwny hyo mechi ilopewa hyo option.

Naelewa, nimeshauri kwa nia nzuri tu.

Nakumbuka kuna mkeka alichana Zamaleck, kipindi cha kwanza alitoa draw hlf kipindi cha pili akafungwa.

Mkeka mwingine nakumbuka alichana km siyo Appolon ni Doxa, alitoa draw first half na second half pia ikawa draw.

NB: Sijalalamika na sina tabia hiyo, binafsi nashukuru kwa michango yako.

Ila sidhani kama nikiobserve kitu kama hicho siruhusiwi kutoa maoni?
 
Nakufatilia kinoma ila kuna sehemu hua unajichanganya kama binadamu hua hakosi mapungufu. Mie mwenye nimeanza betting 2011 ila kuna vitu ume improve kwangu. Sasa hv naona umeshanipiku kabsa. In short upo vizuri. Kukosea kupo tu jamani let us relax and enjoy our betting. Ngoja niwambie, kama unamtaji for sure hakuna biashara simple na yenye pesa fasta kama betting.
 
Ndo maana ake mkuu.

Sasa sjaelewa anacholalama huyu ndg yetu ni kipi hasa mpk hv sasa.
Hii naona iko poah kabsa
Aiseee ina afadhali tofaut na direct win

Maana direct win tim inashinda fisr
Half af 2nd half inadraw au kupgwa
kabsa

Bora hii option ikishinda fisr half
Af 2nd half ikidraw Bado unakua umewin
 
Wakuu Mkeka wangu umetick toka SAA nane mchana lkn mpaka sasa hawajanipa Pesa premiere ni kawaida au
 
Nakufatilia kinoma ila kuna sehemu hua unajichanganya kama binadamu hua hakosi mapungufu. Mie mwenye nimeanza betting 2011 ila kuna vitu ume improve kwangu. Sasa hv naona umeshanipiku kabsa. In short upo vizuri. Kukosea kupo tu jamani let us relax and enjoy our betting. Ngoja niwambie, kama unamtaji for sure hakuna biashara simple na yenye pesa fasta kama betting.
That is true
 
Ni kweli mkuu, kila bnadam ana mapunguf.

Na mm pia ni mmoja wapo.

I accept it.

Nambie, Najichanganya wapi mkuu?

Ufafanuz tafadhali

Au tatzo langu ni swali nlilomuuliza hilo swali?
 
Naelewa, nimeshauri kwa nia nzuri tu.

Nakumbuka kuna mkeka alichana Zamaleck, kipindi cha kwanza alitoa draw hlf kipindi cha pili akafungwa.

Mkeka mwingine nakumbuka alichana km siyo Appolon ni Doxa, alitoa draw first half na second half pia ikawa draw.

NB: Sijalalamika na sina tabia hiyo, binafsi nashukuru kwa michango yako.

Ila sidhani kama nikiobserve kitu kama hicho siruhusiwi kutoa maoni?
Boss maoni uliyo toa n mazuri maana hata mm kuna mkeka nlkua masubir napoli ashinde half yoyte alkin akaishia kudraw 1st na sec akaishia kupgwa
So hakuna option ambayo n uhakika 100% japo uki ifatlia pia ni moja ya optn nzur na hua ina tusaidia sana

ushauri wako ni mzuri!! binafsi nime uchukua
See ref below
IMG_20180110_203308.jpg
 
Pesa Mingi Namna hii

1. Chelsea fc over 8.5 kona
2. Real Madrid to score in both halves
3. Villarreal under 12.5 kona
4. Stade Remes over 8.5 kona
5. Paris Saints G to score in both halves
6. Ccc Polkowice under 140.5 pnts

ODDS 8.328
 
Back
Top Bottom