Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Tumekumiss sn mkuu
Nipo mkuu, nimesafiri huku nilipo mtandao shida sn. Ila huwa napita hapa kuwaona mnaendeleaje.
Tumekumiss sn mkuu
Kabisa Mkuu Buddy! Mbona unaonekana kwa kubeep sana!? Umeenda likizo nini?
Au nitembee na 3+Hyo ya PSG, naiona km haijatulia
Nipo Chief ... mtandao tu unanilet down sn ... yani kufungua page na kupata chance ya kufanya uchaguzi ni mziki. Ila tupo pamoja makamanda.
Nimechukua tahadhari chief nimeweka stake ya kati 60k faida 48kStake low/ medium mkuu.
That's very risky
Nampa MacaeUnampa nani win?
Iko poa sn,chkua hyo hyoMkuuu itakuwa jamaa wameitoa kwa hyo nikiweka hio 161.5 over ni mbaya View attachment 672576
Hyo itafaa sn mkuuAu nitembee na 3+
Maana ndo zao hawa kugawa dose
Tupo,mambo sio mabaya sn mpk hv sasaNipo mkuu, nimesafiri huku nilipo mtandao shida sn. Ila huwa napita hapa kuwaona mnaendeleaje.
Shukrani mkuu
Hii nimeielewaSlot No.2
SC Amiens - Paris St Germain
Yes (PSG To score both Halves)
1.44
Villarreal CF - CD Leganes
CD Leganes (Handicap 0-2)
1.27
MKEKA WA PESA
Odds: 2.67
Stake: 23k
Marejesho: 61k
Hakika mapambano yanaendelea
View attachment 672509
Kuna mkeka nimeliwa ila si mbaya mapambano yanaendelea mzee...Mkuu kuna kitu nimeobserve, mara nyingi mikeka yako inachanwa na hii option ya Home/Away to win either half - Yes.
Mimi nashauri tuachane na hii option, hebu jaribu kupitia mikeka yako utagundua.