DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Safi sanaNa ya endelee mkuu.... Mimi nimeingia vitani rasmi week hii
Safi sanaNa ya endelee mkuu.... Mimi nimeingia vitani rasmi week hii
Nna iman kabisaTuwape muda na imani kipindi cha pili watakuja na magoli ya ushindi mkuu
Basketball leo pesa ilikuwa CBA China! Over game zote.
Washatikisa wavu huko na imani wataongeza mengine zaidiNna iman kabisa
HII MECHI NAKUFA NAYO
Mkuu princess walitegesha game kimitego sana, kwanza game zingine waliweka Total kuanzia 226-236 , zingine hawakuweka kabisa option ya total points wakaishia kuweka kitimu.
Huwezi amini nimepoteza mikeka miwili CBA, miwili KBA.
Leo basketball imenila balaa.
Huko nimewaachia nyie maana sipaelewi hata kidogo.Mkuu princess walitegesha game kimitego sana, kwanza game zingine waliweka Total kuanzia 226-236 , zingine hawakuweka kabisa option ya total points wakaishia kuweka kitimu.
Huwezi amini nimepoteza mikeka miwili CBA, miwili KBA.
Leo basketball imenila balaa.
Mkuu pole. CBA game zote zilikuwa na Total Points. Sema Princess bet huwa wanaweka na kutoa options za Total Points saa zingine.
Mimi nilitega mkeka mmoja wa 3 games na nimemkalisha mkuu.
View attachment 672566View attachment 672567
Wacha tusubirie NBA sasa!
Mkuu kwa mara ya kwanza wacha nife na WINKwa option gani mkuu nikufuate?
Mkuu pole. CBA game zote zilikuwa na Total Points. Sema Princess bet huwa wanaweka na kutoa options za Total Points saa zingine.
Mimi nilitega mkeka mmoja wa 3 games na nimemkalisha mkuu.
View attachment 672566View attachment 672567
Wacha tusubirie NBA sasa!
Hongera sana, mimi nimeambulia maumivu mno
Hiyo DHC slavia vs DHK Banik ni nchi gani nani mchezo gani?MKEKA WA PESA No.2
Odds: 2.44
Stake: 25k
Marejesho: 61k
Mapambano yanaendelea
View attachment 672541
Leo kila nkitaka kwenda huko roho inasita,