Naelewa, nimeshauri kwa nia nzuri tu.
Nakumbuka kuna mkeka alichana Zamaleck, kipindi cha kwanza alitoa draw hlf kipindi cha pili akafungwa.
Mkeka mwingine nakumbuka alichana km siyo Appolon ni Doxa, alitoa draw first half na second half pia ikawa draw.
NB: Sijalalamika na sina tabia hiyo, binafsi nashukuru kwa michango yako.
Ila sidhani kama nikiobserve kitu kama hicho siruhusiwi kutoa maoni?
Maoni ruksa mkuu.
Ndo maana nlvoona hyo comment yako
Nkajua umepanic baada ya mkeka kuchanika.
Pili, nkahs hata hujui maana ya hyo option ndo maana walalamika.
Tatu, napingana kabisa na kauli yako hyo kwamba hyo option imechana mikeka mingi.
Hzo timu ulzotaja zote ni big teams.
Zamaleck, apollon, Doxa,Napoli etc
Hii option huwa naiweka ikiwa big team inacheza away na underdogs.
Na huwa naiweka kwa kuhofia direct win wkt big timu ikicheza ugenini.
maana ake mechi inaweza kutoa sare au ikafungwa.
Ila kama big team ikishnda first half, 2nd half ikapigwa na kupoteza mechi.
Bado mkeka nmekula km kawaida kwa kuikwepa direct win.
Na hiyo option nmekula sn ela.
Ref:
-mechi ya soton vs arsenal (1:1) arsenal aliongoza 2nd half 1:0
-Mechi ya Man city vs Leicester (1:1), half time (0:1)
Man city alichomoa goli 1 second half
-Mechi ya Newton vs TSN (3:2)
HT (3:1) ,
TSN alichomoa goli 1 second half
-Mechi ya Bristol city vs Man utd (1:1) halftime 1:0
Man utd kachomoa goli 1 second half.
REFERENCE NI NYINGI MNO MKUU.
JUST RELAX & CALM DOWN
TUENDELEZE MAPAMBANO.