Sasa mkuu kama tatizo ushaligundua KUA ni kupata goli nying za mapema .Nakubaliana na takwimu hizo lakini timu hizo zikishatangulia ku score mapema mfano ndani ya dk 15 za mwanzo, mara nyingi corner hua chache ndo maana nilisema inategemea na situation ya game. Ila sipingani na ww kama pengine unavyodhania. Au pengine mie analyisis niliyofanya bado haijajitosheleza ngoja nirudi tena darasani.
Villarreal wanazo kona 11 hadi sasa inamanisha bado kona 2 mkeka uchanike mkuu hapa kupanick mixer tumbo kuuma kupo.Just relax, acha panic na KUA na imani thabiti kwa kile ulichobet.
Hakuna kitu kinashndkana palipo imani thabiti.
Tuko pamoja mkuuMacae 2-0 America RJ halftime mkuu ahsante kwa kunitia moyo
Mkuu mkeka bado maana tunahamia kwenye kikapu soka ligi bado hazijachanganya miyeyusho tu odds nazo kiduchu ila huku uhai upo upo banaPole sana mkuu. Usijali, acha tuendelee kukuwakilisha kwenye hii vita ya uchumi.
Bet WoooooooonHapa vp wakuu?![]()
Pole sana mkuu.Ukisikia uchawi katika betting ndo huu sasa!
Sasa mkuu kama tatizo ushaligundua KUA ni kupata goli nying za mapema .
Yanini sasa unitupie lawama mm
eti
"Wewe deepPond Ulisema psg na chelsea ni wazur wa corner mechi imeisha na corner hawajatoa"
Kwani mm ndo nilisababisha hzo goli za mapema?
Kwani mm ndo niliwashika miguu PSG na chelsea waache kushambulia baada ya kupata goli za mapema?
Amefkisha 14 yan mpinzan hanaVillarreal wanazo kona 11 hadi sasa inamanisha bado kona 2 mkeka uchanike mkuu hapa kupanick mixer tumbo kuuma kupo.
Sasa km takwimu zmetenguka ,Ni kweli mkuu ila pia sioni kama wadau wa upande wa pili pia kama wamesema vibaya au walikua na maana mbaya, hapana! let's cool down guys hakuna mbaya hapo betting ni takwimu lakini sometimes takwimu hutenguka na mambo huenda tofauti na ninafikiri wadau ndicho walichokua wanamaanisha.
Bg up mkuuBet Woooooooon
Mkuu yaan nakukubali sana kwan makosa yapo tu hata kuna mikeka humu mitatu umetuwekea na yote imechanika hivyo huyo jamaa hapaswi kukulaum hata kidogo chamsingi tutafute njia ya kumpga huyo muhindi wanae msema kubet si swala la kispot spot et.Sasa mkuu kama tatizo ushaligundua KUA ni kupata goli nying za mapema .
Yanini sasa unitupie lawama mm
eti
"Wewe deepPond Ulisema psg na chelsea ni wazur wa corner mechi imeisha na corner hawajatoa"
Kwani mm ndo nilisababisha hzo goli za mapema?
Kwani mm ndo niliwashika miguu PSG na chelsea waache kushambulia baada ya kupata goli za mapema?
Kuna kesho pia, villareal ni watu wa corner sana hata ueropa walikuwa wanatiririka na corner baraa.Hizi timu nyingine za ki3enge sana sasa Villareal hizo kona katumwa na nani 13 kona 75 mins now and BET LOST....ila tulijichanganya wenyewe tulishindwa kuconsider matokeo ya first leg yapoje na pia tukashindwa kudetermine how tough the opponent is so Villareal anatafuta matokeo kwa namna yeyote na ndio sasa amefanikiwa kutulaza njaa *****
Relax mkuu...Villarreal wanazo kona 11 hadi sasa inamanisha bado kona 2 mkeka uchanike mkuu hapa kupanick mixer tumbo kuuma kupo.
Mkuu yaan nakukubali sana kwan makosa yapo tu hata kuna mikeka humu mitatu umetuwekea na yote imechanika hivyo huyo jamaa hapaswi kukulaum hata kidogo chamsingi tutafute njia ya kumpga huyo muhindi wanae msema kubet si swala la kispot spot et.
Sio kwa povu zito ka hiloHizi timu nyingine za ki3enge sana sasa Villareal hizo kona katumwa na nani 13 kona 75 mins now and BET LOST....ila tulijichanganya wenyewe tulishindwa kuconsider matokeo ya first leg yapoje na pia tukashindwa kudetermine how tough the opponent is so Villareal anatafuta matokeo kwa namna yeyote na ndio sasa amefanikiwa kutulaza njaa *****
Villarreal anawastani was kupiga corner 4.7 kwa kila mechi anayochezaHizi timu nyingine za ki3enge sana sasa Villareal hizo kona katumwa na nani 13 kona 75 mins now and BET LOST....ila tulijichanganya wenyewe tulishindwa kuconsider matokeo ya first leg yapoje na pia tukashindwa kudetermine how tough the opponent is so Villareal anatafuta matokeo kwa namna yeyote na ndio sasa amefanikiwa kutulaza njaa *****
Hawaelewi hao ila mikeka uliyo tupa ikishinda unasikia wooooon woooon lakn twende taratb tu mkuu kila mmoja na matatzo yake.Sasa km takwimu zmetenguka ,
Yann lawama za kuchanika mkeka wanitupie mm?
Kwani mkeka huo huo nlioshare kwa kupost humu unapochanika,wanaumia wao tu?
Au Mimi ndo hainiumi stake nloweka au?
YAAN HAWA NDUGU ZANGU WANAVOLALAMA NI KANA
KWAMBA MM NLIFANYA KUSUDI ILI NIWAINGIZE MKENGE ILI MIKEKA YAO ICHANIKE.