Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh,
Hii Siku ya Leo kwny football ni balaa tupu.

Eti hawa nao Leo wametoa 6+
Screenshot_20180110-235503.png
 
Ni kweli mkuu,

Yaan Siku ukitia stake na ukaomba 3+

Utakutana na cleansheet nyng sana.

Siku ukipuuza, utakutana na 4+ za hatari.

HII KAZI INAHTAJ KUSHKURU W
KWA KILA KINACHOTOKEA.

HAYA MATOKEO NI KAZI YA MUNGU

MAANA YEYE PEKEE NDO MTOA RIZKI.

NA RIZKI ZAKE HUTOA KWA ZAMU.

LEO HAIJAWA ZAMU YETU

MAANA AKE,
RIZK YA BETTING YA LEO KAHAMISHIA KWA WENGN
(namaanisha waliomatch na hzo score)

Keep Trust,
Kesho yaweza kua Siku yetu ya RIZKI.

DONT GV UP, Calm dow and BE STRONG

Ni lazima
MAPAMBANO YAENDELEE MKUU

Noma sn Chief !
 
Najuta kuwaamini PSG.......shenzi hata HT Over 1.5 kwa team iliyopungufu wamechemka!!Leo siku mbaya team hazijawahi kufungana goli 3 tokea zianze kukutana eti leo dk 60 tu tayari 3-3 wakati mi niliwapa UNDER 3.5
 
***** PSG yaan saiv mi ntakuwa nacheza in play tu.
 
Mkuu psg tayar wana gori 1 kule.
 
***** PSG yaan saiv mi ntakuwa nacheza in play tu.
Hayo matokeo ya mechi yasikukatishe tamaa hicho.

Relax mkuu, No need to conclude that way

Be careful,
usije ruka haja ndogo ukaikwaa haja kubwa

YA LEO SIO YA KESHO.

PSG bado naiona ni timu ya pesa.

Wameteleza Leo tu
 
Back
Top Bottom