Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2018-1-10_23-25-19.png

TUNAKESHA KUTAFUTA ODD MBILI DUUU
 
Sasa km takwimu zmetenguka ,

Yann lawama za kuchanika mkeka wanitupie mm?

Kwani mkeka huo huo nlioshare kwa kupost humu unapochanika,wanaumia wao tu?

Au Mimi ndo hainiumi stake nloweka au?

YAAN HAWA NDUGU ZANGU WANAVOLALAMA NI KANA

KWAMBA MM NLIFANYA KUSUDI ILI NIWAINGIZE MKENGE ILI MIKEKA YAO ICHANIKE.
Kaka wasamehe same realize hilo naona wame cool cha msingi tuangalie tunatengenezaje uchumi tupe mikeka mkuu tukila ni vyema tukipigwa ni vyema zaidi lakini ambacho si chema kutupiana lawama
 
FULLTIME mkuu wamembwela sana
Pole sana mkuu,

What if ungekua umempa
"home to win either half-Yes"

Nadhani ungechekelea baada tu ya halftime results

Sema ndo hivo, Siku ya kuliwa huwa ni kuliwa tu.

Yaan hata pa kupiga pesa huwa tunageuka vipofu na tunapakimbia automatically bila kujijua.
 
Villarreal anawastani was kupiga corner 4.7 kwa kila mechi anayocheza

Laspalmas anawastani wa kupiga corner 4.4 kwa kila mechi anayocheza.

Kwa haraka haraka hapo, utapata wastani was corner 9.1 mechi yao ya head to head.

Kwahyo,
Kitendo cha Leo kupiga corner nyng kias hicho, ni jambo LA ghafla sana.

NA HALIKUTEGEMEWA KABISA.
Ni Leganes chief...ila na wewe punguza munkari chief,jamaa wa mwanzo hukumuelewa vizuri,lengo lake lilikua sio kulaumu bali kutoa ushauri....ingawa uwezo wako ni mzuri sana kwenye analysis ila usiwe rigid sana maana takwimu zipo na sio mara zote zitakua applicable sababu ya factors mbalimbali...'we are team brothers with one focus...Green'
 
Sina munkari mkuu.

Am cool as ice
 
Hahaha, hatareee sn ... sema hizi Friendlies hawaziweki zote bana ..

Yani huko ni mwendo wa 3+ tu ...chache sn hazitoi 3+
Ni kweli mkuu,

Yaan Siku ukitia stake na ukaomba 3+

Utakutana na cleansheet nyng sana.

Siku ukipuuza, utakutana na 4+ za hatari.

HII KAZI INAHTAJ KUSHKURU W
KWA KILA KINACHOTOKEA.

HAYA MATOKEO NI KAZI YA MUNGU

MAANA YEYE PEKEE NDO MTOA RIZKI.

NA RIZKI ZAKE HUTOA KWA ZAMU.

LEO HAIJAWA ZAMU YETU

MAANA AKE,
RIZK YA BETTING YA LEO KAHAMISHIA KWA WENGN
(namaanisha waliomatch na hzo score)

Keep Trust,
Kesho yaweza kua Siku yetu ya RIZKI.

DONT GV UP, Calm dow and BE STRONG

Ni lazima
MAPAMBANO YAENDELEE MKUU
 
Back
Top Bottom