Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,828
- 4,740
Mi huwa nikikuta et over 2.5 huwa nashusha inakuwa over 1.5 maana ni bora upate kidogo kuliku kutaman kikubwa na ukashinda kwahiyo hao PSG nilivyo kuta kunamkeka wako mr.wise wa1st half 1.5 nkashusha aisee nkaweka ft over 1.5 sijui nayenyewe ka watatoa.