Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tatizo sio ulivyouliza kuhusi option ila kuna mambo mengine. Mfano kuna siku ulisema psg ni mzuri kwa corner ila kwangu mie sidhani kama ni kweli. Timu kama psg, spurs,chelsea, barca, juve na liverpool mara nyingi zinato corner nyingi kutegemea situation ya game lakini timu kama inter, madrid real sociadad hawa hua wanatoa corner nyingi mara kwa mara. Nadhan
MKUU,
Mimi sitengenezagi mkeka bila kua na takwimu.

Huyo PSG unaemuongelea ww ambae juz tu kashndwa kutoa kona 9.

PSG ni timu inayosababisha corner nyng kuliko timu yoyote ligi ya France.

Anawastani wastani wa

Kupiga corner 7.37 kwa mpinzan wake
(win corners FOR an opponent)

Kupigiwa corner 3.05 kutoka kwa mpinzan wake.
(Conceded AGAINST an opponent )

Kila mechi ya PSG INA wastani was corner 10.42

Juz kashndwa kutoa kona alpokutana na Rennes.

Kumbuka pia rennes nae ni mzur kwny corner.
(Tizama takwimu hapo chini)

NAKUANDALIA TAKWIMU ZA KILA TIMU UNAYODAI HAPO JUU (totenam, juve, barca) KUA SIO NZURI KWA UPIGAJI WA CORNER.

Tizama vielelezo vya psg hapa chini
Screenshot_20180110-220917.png
 
Mtaji wa kuanzia kiasi gani na kwa mkakati upi?
20k-50k kwa odd za kuanzia 2-3 bila kuzidisha katika mkeka mmoja hata kama kuna game nyingi siku hyo. Unaweka bets zako tofauti tofauti kwa odds hizo . Hapo unakuwa unatengeneza faida mara 2 ya stake yako. Ila ukiweka tamaa ya mamilioni hapo ndo utaisoma namba
 
Mtaji wa kuanzia kiasi gani na kwa mkakati upi?
20k-50k kwa odd za kuanzia 2-3 bila kuzidisha katika mkeka mmoja hata kama kuna game nyingi siku hyo. Unaweka bets zako tofauti tofauti kwa odds hizo . Hapo unakuwa unatengeneza faida mara 2 ya stake yako. Ila ukiweka tamaa ya mamilioni hapo ndo utaisoma namba
 
MKUU,
Mimi sitengenezagi mkeka bila kua na takwimu.

Huyo PSG unaemuongelea ww ambae juz tu kashndwa kutoa kona 9.

PSG ni timu inayosababisha corner nyng kuliko timu yoyote ligi ya France.

Anawastani wastani wa

Kupiga corner 7.37 kwa mpinzan wake
(win corners FOR an opponent)

Kupigiwa corner 3.05 kutoka kwa mpinzan wake.
(Conceded AGAINST an opponent )

Kila mechi ya PSG INA wastani was corner 10.42

NAKUANDALIA TAKWIMU ZA KILA TIMU UNAYODAI HAPO JUU (totenam, juve, barca) KUA SIO NZURI KWA UPIGAJI WA CORNER.

Tizama vielelezo vya psg hapa chini
View attachment 672711
Mkuuuu sikikiza nikwambie ww ni binadaam lkn probablity zako kama binadaam ni 90 percent mptu asichukulie ni mia kwa mia ww unaonesha njia Mm nakukubali maana umenifnya nione bet ni sehem husika na huna uchoyo kbsa unashare kila unachoona bora kbsa
 
Nakubaliana na takwimu hizo lakini timu hizo zikishatangulia ku score mapema mfano ndani ya dk 15 za mwanzo, mara nyingi corner hua chache ndo maana nilisema inategemea na situation ya game. Ila sipingani na ww kama pengine unavyodhania. Au pengine mie analyisis niliyofanya bado haijajitosheleza ngoja nirudi tena darasani.
MKUU,
Mimi sitengenezagi mkeka bila kua na takwimu.

Huyo PSG unaemuongelea ww ambae juz tu kashndwa kutoa kona 9.

PSG ni timu inayosababisha corner nyng kuliko timu yoyote ligi ya France.

Anawastani wastani wa

Kupiga corner 7.37 kwa mpinzan wake
(win corners FOR an opponent)

Kupigiwa corner 3.05 kutoka kwa mpinzan wake.
(Conceded AGAINST an opponent )

Kila mechi ya PSG INA wastani was corner 10.42

NAKUANDALIA TAKWIMU ZA KILA TIMU UNAYODAI HAPO JUU (totenam, juve, barca) KUA SIO NZURI KWA UPIGAJI WA CORNER.

Tizama vielelezo vya psg hapa chini
View attachment 672711
 
MKUU,
Mimi sitengenezagi mkeka bila kua na takwimu.

Huyo PSG unaemuongelea ww ambae juz tu kashndwa kutoa kona 9.

PSG ni timu inayosababisha corner nyng kuliko timu yoyote ligi ya France.

Anawastani wastani wa

Kupiga corner 7.37 kwa mpinzan wake
(win corners FOR an opponent)

Kupigiwa corner 3.05 kutoka kwa mpinzan wake.
(Conceded AGAINST an opponent )

Kila mechi ya PSG INA wastani was corner 10.42

NAKUANDALIA TAKWIMU ZA KILA TIMU UNAYODAI HAPO JUU (totenam, juve, barca) KUA SIO NZURI KWA UPIGAJI WA CORNER.

Tizama vielelezo vya psg hapa chini
View attachment 672711
Mzee upo vizuri sana.
 
Ndo maana hata mie nilikuwa namtetea maana kuna mtu alitoa comment yake as if kama anamponda vile ndo nikasema nae ni binadamu anaweza aka overlook baadhi ya mambo so unatakiwa uli relax maana haiwezekani kila mkeka anaoweka una win.
Mkuuuu sikikiza nikwambie ww ni binadaam lkn probablity zako kama binadaam ni 90 percent mptu asichukulie ni mia kwa mia ww unaonesha njia Mm nakukubali maana umenifnya nione bet ni sehem husika na huna uchoyo kbsa unashare kila unachoona bora kbsa
 
Tatizo sio ulivyouliza kuhusi option ila kuna mambo mengine. Mfano kuna siku ulisema psg ni mzuri kwa corner ila kwangu mie sidhani kama ni kweli. Timu kama psg, spurs,chelsea, barca, juve na liverpool mara nyingi zinato corner nyingi kutegemea situation ya game lakini timu kama inter, madrid real sociadad hawa hua wanatoa corner nyingi mara kwa mara. Nadhan
Zifuatazo hapa chini ni takwimu za misimamo ya upigaji corner ktk ligi mbali mbali.

Na hzo timu unazodai nmekuingiza mkenge zimo ktk top list ya timu znazopiga corner nyingi.

Vielelezo hapa chini
Screenshot_20180110-223909.png
Screenshot_20180110-223758.png
Screenshot_20180110-223516.png
Screenshot_20180110-220917.png
 
Ndo maana hata mie nilikuwa namtetea maana kuna mtu alitoa comment yake as if kama anamponda vile ndo nikasema nae ni binadamu anaweza aka overlook baadhi ya mambo so unatakiwa uli relax maana haiwezekani kila mkeka anaoweka una win.
Ni kweli mkuu ila pia sioni kama wadau wa upande wa pili pia kama wamesema vibaya au walikua na maana mbaya, hapana! let's cool down guys hakuna mbaya hapo betting ni takwimu lakini sometimes takwimu hutenguka na mambo huenda tofauti na ninafikiri wadau ndicho walichokua wanamaanisha.
 
Back
Top Bottom