Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Premier league na sio premier betting nadhani hii option hujawahi itumia ndomana hatuelewani.
Huwezi jua kila kitu...maelezo mbona yapo wazi kabisa kwa anae tumia old version anajua akiingia kwenye football then inamletea nchi afu league ndo zile option zinatokea na mie pale ndo nilitoa mfano kwakutumia England na premier...kama we unaingia tu kwenye football today nakubet huwezi elewa hii kitu.Hahahahaha hakuna nisichokijua kwenye betting mkuu.. Ni kwamba sentensi yako ilikuwa nusu nusu haieleweki
Bayer vs Stuttgart Goal in both halves
Vittesse vs AZ Alkamaar GG
Valencia vs Deportivo Goal in both halves
Nice vs Guingamp GG
Odds 9.45
Hujanielewa mf.ukitaka kubet premier kwa kesho mechi zikiwa kwenye siku yenyewe hupati ile link pale juu ambapo utaselect tu draw no bet inakuletea GG na NG then unakuwa unaclick tu hapa network haihusiki,ukienda kwenye nchi Football then ukaselect Nchi England halafu ukaselect premier hizi option zinatokea kwa juu...mie nauliza kuna jinsi yakuzipata hizi option kwenye football today ambapo itanirahisishia kubet p
ia kusave muda.
Pole valencia kakuua hata mimi nilimdhamini 45 kanikosesha 60000 leverkusen monaco wote fresh alibaki yye tu kazingua
Wadau hawa meridian wanachukua siku ngp mpaka kupata hela yako maana ni me withdraw toka juzi hadi leo sijaipata..naombeni namba zao niwapigie
Nilikuwa naangalia game ya GSW vs Denver leo, Denver wameshinda kwa 114 - 103. Steve Kerr wakati anahojiwa kwa nini hakuwachezesha The Splash Brothers amesema walihitaji kupumzika kwa sababu wana back to back games, anawataka wawe fresh kwa show ya kesho Alfajiri ambapo wanacheza home kwao vs New York Knicks!
Expectations: Knicks watakuwa blown out kwa sababu zifuatazo:-
1. Knicks wana poor form msimu huu, ndiyo ya mwisho kwenye ligi.
2. Star wao Camelo Anthony yuko majeruhi, offense iko so poor
3. Wameuza wachezaji wengi kama J. R. Smith, Iman Shumpert na Amar's Stoudmire ambao walikuwa ni wachezaji muhimu sana; hawajafanya usajiri wa maana kucover hizo gaps
4. Steph Curry, Clay Thompson na wenzao watataka kutoa show kwenye home ground, kumbuka wamepumzika vya kutosha pia.
Lines: GSW (-19.5), 201.
Kwa wazee wa basket, hii game ni ya kuweka mzigo afu unalala kusubiria matokeo:
Bet: GSW over 110 pts, odds ziko kwenye 1.9 ila zitabadilika badilika baadaye.
Mi leo nauza simu, laptop na begi lake leo, nipate laki 5 ya kutupia hapa. Tutaonana alfajiri
Wadau hawa meridian wanachukua siku ngp mpaka kupata hela yako maana ni me withdraw toka juzi hadi leo sijaipata.
Pesa Leo ipo hapa.
Bournemouth win
Brentford win
Watfod win
Bristol city win
Prestol win
Burton Albion win
CSKA win.
Weka 5000/= update zaidi 100000
Ukiona VP chukua mbongo hapa.
B. Dortmund win
M. City win
Barcelona win
Juventus win
Bayern win
Weka hata 100000/= unabomoa maisha
Knicks ni kama jamvi la vichaa.. hapo wala hauna haja ya kulala ni kuendelea kuburudika na roho yako ukiitazama hii game. Mi naelekea Mkombozi Bank kuchukua mkopo wa fasta fasta, kama una kiwanja we weka rehani tu