Nilikuwa naangalia game ya GSW vs Denver leo, Denver wameshinda kwa 114 - 103. Steve Kerr wakati anahojiwa kwa nini hakuwachezesha The Splash Brothers amesema walihitaji kupumzika kwa sababu wana back to back games, anawataka wawe fresh kwa show ya kesho Alfajiri ambapo wanacheza home kwao vs New York Knicks!
Expectations: Knicks watakuwa blown out kwa sababu zifuatazo:-
1. Knicks wana poor form msimu huu, ndiyo ya mwisho kwenye ligi.
2. Star wao Camelo Anthony yuko majeruhi, offense iko so poor
3. Wameuza wachezaji wengi kama J. R. Smith, Iman Shumpert na Amar's Stoudmire ambao walikuwa ni wachezaji muhimu sana; hawajafanya usajiri wa maana kucover hizo gaps
4.
Steph Curry, Clay Thompson na wenzao watataka kutoa show kwenye home ground, kumbuka wamepumzika vya kutosha pia.
Lines: GSW (-19.5), 201.
Kwa wazee wa basket, hii game ni ya kuweka mzigo afu unalala kusubiria matokeo:
Bet: GSW over 110 pts, odds ziko kwenye 1.9 ila zitabadilika badilika baadaye.
Mi leo nauza simu, laptop na begi lake leo, nipate laki 5 ya kutupia hapa. Tutaonana alfajiri