Asante sanaHongera sn
Mr. Omerta.
Game ya GSW v LA Clippers mbona imeondolewa PrincessBet?
Mwanzo ilikuwa hamna, baadae wakaiweka with limited options ila sasa naona wameitoa kabisa.
Meridian bet bado ipo.
Sijui km wataiweka Inplay
Over za kutosha hapo.
Hahaha, hatareee sn ... sema hizi Friendlies hawaziweki zote bana ..
Yani huko ni mwendo wa 3+ tu ...chache sn hazitoi 3+
yani kuna mda nikikia nacheki live score huwa siamini kama tunazikosaga odd 2 tu
Leo naona mambo magumu, hakuna mtu ametoa inplay tip mpaka sasa hivi
Naombeni kujuzwa jamani, hivi 0:2 eti ni Over?
over 2.5 ni magori ya anzia 3 nakuendelea mkuuNaombeni kujuzwa jamani, hivi 0:2 eti ni Over?